THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 1,727
- 3,286
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90.
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90.
Mpira ni Mchezo unaofanya watu walio na shida za kimahusiano katika Familia zao wazisahau kwa dakika 90.
XAVI anaposema Anaondoka It Means amefikiri yote haya..Barcelona ni kubwa kuliko Spain,Barcelona ni Kubwa Kuliko Marekan na China. XAVI Alikua anaongoza Jeshi la watu wengi zaidi Dunian.
XAVI Anavyosema anaondoka Maana yake anataka kuponya Mioyo ya hawa Watu...Anatambua kua Mpira ni kiunganishi cha Mambo yote yaliyoharibika Dunian,akiendelea kukalia kiti atakua anaumiza Mioyo ya wapenda Soka hasa wana Familia ya Barca Dunian Kote ambao naamini ni Wengi kuliko Hata Nchi ya Tanzania.
Mitaa itakuheshimu (XAVI).
#Football Addicts Street
#Mitaa ya Wapenda Soka hua hatumdharau Msela Mpambanaji.