Natafuta kazi ya Sales au Business Administrator au relevant

Newcastle1234

Member
Oct 29, 2022
15
44
Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya kazi yeyote nitakayoiweza. Niko flexible sana na open minded
 
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:
Awe na uwezo wa kufundisha English,Secretarial,Enterprenuarship ,communication.,....
Uwezo wa kutimua na muelekeza kweney program za computer nao ni muhimu
Kama upo tayari tuma cv na vyteti vyako kwa email mitcomputingtz@gmail.com au whatsap 0717157640
Kila kitu maelewano na unaaza kazi soon
 
Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya kazi yeyote nitakayoiweza. Niko flexible sana na open minded
Unaweza fanya kazi ya markerting kwenye chuo cha ufundi stadi? Kama unaona una uwezo tuwasiliane 0717157640
 
Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya kazi yeyote nitakayoiweza. Niko flexible sana na open minded
Habari.

Nitumie details zako inbox, natafuta kijana wa kufanya sales and marketing, location ni Dar.

Field ni HR Services.

Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom