kasimu majaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

    Salamu ndugu Watanzania! Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena. Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya...
  2. L

    Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mwalimu Kasimu Majaliwa ametoa maagizo kwa jeshi la Polisi kumtafuta mmiliki wa jengo ambalo limeanguka na kusababisha vifo vya karibu watu 15 mpaka hivi sana na majeruji kadhaa . Waziri Mkuu...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  4. The Burning Spear

    Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri. Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata...
  5. kibori nangai

    Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

    Wanajamvi wenzangu Nakusalimu sana na poleni nyote humo mlipo najua mko mkilitumikia Taifa letu. Mim Kibori Nangai Nitamtetea ,nitasimama na Majaliwa Kasimu Mh Waziri Mkuu wa Taifa letu. Sihitaji kupangiwa , Hawa wanaharakiti Uchwara hatuwataki hata kidogo Kuna huyu anayejiita Tito Magoti...
  6. saidoo25

    Viongozi wanaojikweza alioomba Rais Samia tuwataje

    Wana Bodi Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Njombe ametuomba watanzania kumpatia orodha ya wateule wake ambao wanajikweza na hawatekelezi kikamilifu majukumu yao kwa mujibu wa viapo vyao ili aweze kuwachukua hatua. Namba tutumie fursa hii tutaja majina ya viongozi ambao...
  7. N

    Hongera Samia kwa kumfanya Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Kwa jina la JMT, nawasalimu sana! binafsi, nafasi ya waziri mkuu ni moja ya nafasi ninayoiheshimu sana na kuiogopa.......tangu nilipopata akili ya kufuatilia mambo ya siasa, mpaka sasa! nikisikia 'Waziri Mkuu', basi picha inayonijia akilini ni; Ukali (kwa wazembe), Uwajibishaji (kwa wakosefu)...
  8. S

    Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

    Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2). (..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..) N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno nimeyaruka. Sasa huyu mhe Majaliwa alichaguliwa na wananchi ktk Jimbo lake? Jibu ni HAPANA hakuchaguliwa na...
  9. Nyendo

    Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali. Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa...
Back
Top Bottom