kali

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki. 1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down) 2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa? Tembea uone vichekesho. Fanya mambo yako ewe...
  3. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuna njaa kali sana? Wameficha wee Jumuiya ya mataifa imejua

    Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport. --- New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

    Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze. Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Shule zafungwa baada ya Joto kali kuongezeka

    Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake. Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada sio Kampeni ni msaada tu wana CCM wataka kugombea ubunge anzeni kumwaga misaada kwa jamii yenye uhitaji kwa spidi kali msiogope wabunge waliopo

    Kwenye fomu ya CCM ya kuomba kugombea ubunge kuna kipengele kinachotamka kuwa umekifanyia nini chama.Jibu la hapo ni lazima uwe umefanya kitu kama mwana CCM kimojawapo ni kusaidia kutatua kero ya wananchi kwa kuwapa misaada jamii ya wananchi wengi Msaada sio Kampeni ni msaada tu wana CCM wataka...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii

    Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
  16. M

    JamiiForums Tanzania TFF kemeeni na toeni adhabu Kali Kwa mashabiki na wachezaji wanaotoa mataulo na kufukua langoni Kwa timu pinzani.

    Ligi yetu inakua ila baadhi ya wachezaji na mashabiki bado Wana fikra za kipuuzi na za kizamani. Ni upuuzi kwenye ligi kuu ya nchi kuwa na wachezaji wanaoamini goli halipatikani sababu ya taulo la kipa au kuna vitu vimefukiwa.Hayo mambo ni ya timu za mtaani. Ajabu zaidi hata zinazojiita timu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

    Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki. "katika dini yetu...
  18. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Radi kali Mbeya

    Kuna radi zimepiga Kali sana hapa Mbeya mchana huu, hadi kuku kafa
  19. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia. Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
Back
Top Bottom