Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,119
1713360035628.png

enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)

Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki.

1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)

2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad Ice (Baby Gal)

3. Tanzania - HardMad (Tamala), Saida Karoli (Salome), Dudu baya (Mpenzi), Picco (Kikongwe), Balozi (kwenye chati)

kumbuka kwa hapa Tanzania alikuwa anafanya muziki kama side hustle / part time, hakuwa anafanya full Time, Muda mwingi alikuwa anarudi kwao Finland kuendelea na shughuli zake, si ajabu hakuweza kutengeneza muziki full time kama kina P na Master J sababu mshahara aliokuwa analipwa hapa bongo haukuweza kukidhi maisha yake ya Ulaya ambako hata zile kazi zenye vipato vidogo sana mtu analipwa si chini ya elf 20 kwa saa.
 
View attachment 2966385

Enzi hizo Afrika Mashariki ina nchi Tatu - Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) mIka mwamba aliweza kusimamisha nchi hizi kwa biti nzito

1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)
2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki)
3. Tanzania - Balozi (wengi walikuwepo), Saida Karoli (kitobelo), Dudu baya (Mpenzi), Chege (Twenzetu)
Kumbe Eno Mic aliitengeneza Mika Mwamba. Ila mimi ngoma yangu ya muda wote toka kwa mika mwamba ni ngoma ya Hard Mad ya Tamala.

View: https://www.youtube.com/watch?v=WGTudLmckJM
 
View attachment 2966385

Enzi hizo Afrika Mashariki ina nchi Tatu - Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)

MIka Mwamba aliweza kutoa kazi hizi zilizowahi kusumbua vilivyo

1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)
2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki)
3. Tanzania - Hard Mad (Tamala) Saida Karoli (kitobelo), Dudu baya (Mpenzi), Mad Ice (Baby Gal), Balozi (wengi walikuwepo)
Huyu jamaa sasa hivi yuko wapi, dah. Kichwa hichi balaaa alafu hakuna aliyerithi algorithm zake kwenye kutengeneza beats aisee.
 
Balozi Walikuwepo my
View attachment 2966385

Enzi hizo Afrika Mashariki ina nchi Tatu - Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)

MIka Mwamba aliweza kutoa kazi hizi kwa wasanii wa Afrika Mashariki zilizoweza kupata wasikilizaji wengi wa nchi zote tatu za Afrika Mashariki

1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)

2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki)

3. Tanzania - Hard Mad (Tamala) Saida Karoli (kitobelo), Dudu baya (Mpenzi), Mad Ice (Baby Gal), Balozi (wengi walikuwepo)
Favorite
Kaamua kurudi kwao Finland

Na unaambiwa hata enzi zake alikuwa hafanyi muziki full time, mara nyingi alikuwa anarudi kwao Finland, Yani wasanii walikuwa wanamsubiri atue bongo, ndani ya muda mfupi aliweza kufanya kazi nzito
Hivyo ndiyo vipaji, sijui kwa nini hakupata uraia wa Tz, na sijui kama aliacha mtoto tz kichwa sana
 
Hivyo ndiyo vipaji, sijui kwa nini hakupata uraia wa Tz, na sijui kama aliacha mtoto tz kichwa sana
Kipato cha Bongo kukidhi maisha ya Finland ni kidogo sana ndio maana hata huku Bongo alikuwa anakuja mara chache, akitua bongo anapiga kazi kibao kwa mpigo ndani ya muda mfupi anapewa chake kisha anarudi kwao Finland, Kumkuta Mika Mwamba Bongo ilikuwa ni bahati.
 
Kipato cha Bongo kukidhi maisha ya Finland ni kidogo sana ndio maana hata huku Bongo alikuwa anakuja mara chache anapiga kazi nyingi kwa mpigo kisha anarudi kwao, hakuwa mtu wa kukaa sana Bongo.
Dah jamaa aliona fursa ndiyo maana akawa anakuja huku kukusanya hela, ila kipindi kile teknolojia ilikuwa haijakuwa kama sasa hivi watu mnaweza fanya kazi kupitia internet.
Sijui kwa nini wabongo hawamtafuti wafanye naye kazi kupitia online.
 
Gharama za maisha nchi za ulaya zipo juu sana, mshahara wa chini kabisa kwa kazi za chini ni elf 20 kwa saa, Tanzania watu wanalipwa elf 10 siku nzima.

Ndio maana hata huku alikuwa anakuja kwa msimu sababu mshahara aliokuwa analipwa hapa bongo haukuweza kutosha kwa maisha ya Finland, hivyo alikuwa anarudi bongo kufanya kazi kibao ndani ya muda mfupi kisha anarudi kwao.

Mika kafanya kazi ya muziki hapa Tanzania kizalendo sana, Kumbuka alikuwa analipwa mshahara hakuwa na studio yake.
 
Gharama za maisha nchi za ulaya zipo juu sana, mshahara wa chini kabisa kwa kazi za chini ni elf 20 kwa saa, Tanzania watu wanalipwa elf 10 siku nzima.

Ndio maana hata huko finland kaamua kuwa mwalimu wa kiswahili angalau anaweza kuendesha maish yake kuzidi kipato cha kuwa producer hapa bongo.

Mika kafanya kazi ya muziki hapa Tanzania kizalendo sana, Kumbuka alikuwa analipwa mshahara hakuwa na studio yake.
Dah angerudi kukaa TZ tuu, ange oa mke kabisa huku huku.
 
Dah angerudi kukaa TZ tuu, ange oa mke kabisa huku huku.
Ni ngumu sana kwa mtu aliezoea nchi yake kuihama, Ni maamuzi mazito sana ya kuamua kuacha ndugu, jamaa na marafiki mlioishi sehemu moja kwa muda mrefu, Hata watu wanaopata maisha mazuri nje ya nchi zao zenye shida lakini bado wapo wengi wanaorudi kwao.

Hapa Tz alipata mwanamke wa kipare, sijajua kama kabaki ama wamehamia wote Finland.
 
Dah jamaa aliona fursa ndiyo maana akawa anakuja huku kukusanya hela, ila kipindi kile teknolojia ilikuwa haijakuwa kama sasa hivi watu mnaweza fanya kazi kupitia internet.
Sijui kwa nini wabongo hawamtafuti wafanye naye kazi kupitia online.
Kwa maelezo yake Mickah anadai kwa ubize alionao inakuwa ngumu kufanya kazi vile anaamini ili ufanye kazi zenye viwango ni lazima uwe na muda wa kutosha na utulivu wa hali ya juu
 
View attachment 2966385

Enzi hizo Afrika Mashariki ina nchi Tatu - Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)

MIka Mwamba kafanya kazi na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na kazi hizi ziliweza kupata umaarufu mkubwa sana kwa nchi zote tatu za Afrika Mashariki kwa mpigo.

1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)

2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki)

3. Tanzania - HardMad (Tamala), Saida Karoli (chambua), Dudu baya (Mpenzi), Mad Ice (Baby Gal), Balozi (walikuwepo)
Daz nundaz - kamanda
 
Back
Top Bottom