kali

  1. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Movies nne kali za kucheki wiki hii

    1. TELL NO ONE. Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao. Kwa kipindi chote hiko mpaka sasa, dokta amekuwa akiumia na hajapata kutulia kamwe. Bado anaomboleza msiba wa mpenzi...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata Hela Nunua Gari Kali, Mafundi na Spea tutajua uko uko..

    Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko.. Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika.. Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi.. Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
  3. Half american

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  4. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania UNATAMANI UWEKE SOFASET KALI NYUMBANI KWAKO? ONA HII

    Ni mpya kabisa , ina 2 month tu ni fiber & spring 1..5M ukiitaka nicontact: 0697224996
  5. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Movies nne kali za kuhakikisha unazitazama June 2024

    1. VACANCY. Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni. Wakiwa safarini, ndani ya gari lao, wakati huu wa usiku, David anaacha njia kubwa na kufuata shortcut ili wapate kuwahi huko...
  6. Pascal saulon

    JamiiForums Tanzania Tano kali za Nasibu (Diamond Platnumz)

    TANO KALI ZA NASIBU . Kabla matikiti hayajaanza kudondokeana yalistawishwa kwenye kitalu bora kabisa Cha bishoo bob junior pale sharobaro records. Nasibu Abdul Juma hakuviiba na kuviuza Vito vya thamani vya mamaye bi.Sandra ili kwenda kuuza sura studio.Kwanza angeanzaje kuuza sura kama mdomo...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Jordan shoes: Model ipi unaipenda?

    Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav? Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nili-underestimate Shogun: Ni kali

    Ndio kwanza nipo Episode ya 5 kati ya 10. Ila hii series kali. Kupewa rate ya 8.7/10 haki yake.
  9. Saad30

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kali - BMW 320I 3 series linauzwa

    BMW 320I 3 series YEAR: 2014 Cc: 1,990 MILLEAGE: 64k COLOUR: BROWN PRICE: 36M plus free regstration Cream interior, sports and economy drive, 8 gears change,automatic and manual drive, angel eyes, fog lights, sports rims, back camera, rotating seats, dvd players car in super mint condition...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
  11. Meni alonso

    JamiiForums Tanzania Picha Kali

    Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  15. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka Amani Nyandua Pis Kali Kwa Ufumdi wa Kibaharia kiasi kwamba hata akileta nyodo kesho yake Usiwaze Jikatae Kiroho Safi

    Shalom, Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu . Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi. Sasa basi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
  18. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mbinu na vifaa vilivyotumika kutoa adhabu kwa wahalifu enzi za zamani. (Ancient torture methods)

    Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya wahalifu hao kusema na kutaja wenzao ambao walihusika katika uhalifu huo. Ancient rome, Greek, China, ni...
  19. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Drake anaongoza kwenye beef yake na Kendrick

    Kwa wale wapenzi wa Hiph-hop wote masikio yetu yameelekezwa kwenye bifu ya Drake na Kendrick. Mpaka sasa kila mmoja ameshatoa ngoma si chini ya 4 na mchuano ukionekana kuwa bado ni mkali. XXL Magazines wameweka Poll kati ya Drake na Kendrick Lamar, nani kuibuka mshindi? Mpaka sasa Drake...
  20. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
Back
Top Bottom