Sudan Kusini: Shule zafungwa baada ya Joto kali kuongezeka

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake.

Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa Mchana na Usiku ambapo Mamlaka za Afya na Elimu pia zilihimiza Wazazi kuzuia Watoto wao kucheza nje kwa muda mrefu.

Imeripotiwa kuwa katika Juma lililopita pekee Watoto 15 wamefariki kwa Homa ya Uti wa Mgongo na Joto Kali.

......................

South Sudan’s government has ordered an indefinite closure of all schools because of a heat wave that could see temperatures rise to as high as 45C (113F).

Health and education authorities also urged parents to stop their children from playing outdoors for prolonged periods, saying the heatwave could last for two weeks.

"There are already cases of death related to excessive heat being reported," authorities said in a statement on Saturday.

They said that the country was experiencing “extended periods of high day and night-time temperatures that create cumulative physiological stress on the human body”.

Any school found open from Monday would have its registration withdrawn, the authorities warned.

Last week, at least 15 children were reported to have died of meningitis and other heat-related illnesses, according to the health ministry.

Source: BBC
 
Hapo wangekuwa wanaelewana vizuri ilikuwa ni kuja na mpango wa kitaifa kuendesha joto.

1. Wanaweza kutumia mifumo ya kupampu maji ardhini kama Ufaransa
2. Au kupaka rangi barabara(kama zipo) ziwe hazitunzi joto kama Dubai.
3. Au vyote kwa pamoja au teknolojia mpya.

Halafu haya maeneo yenye joto kwa nini yasije na teknolojia ya kuvuna jito litoe umeme. Hata dar WHY? Cant we use what we have..?
 
katika kampuni za utalii mliman kilimanjaro kuna kampun 1 haiwalipi wafanyakazi wao mishahara yao bali huwapa pesa ndog itokayo kwa mgen kama mboneka ila mishahara ndyo huzungushana na madeni ya mishahara imelumbikizan toka mwaka ule wa koron mpak sas
 
Na hayo madeni taktibani milion 20 na kuendelea za kitanzaniaa. Na ukitaka kufatilia watishiwa kutokupatiwa kazi tenaa. Kampuni hyo yaitwa HAIPIKI matent yake huwa ya njano na miraba mweupe piaa tent la gaidi huwa lakijan
 
Screenshot_20240308_193800_X.jpg
 
katika kampuni za utalii mliman kilimanjaro kuna kampun 1 haiwalipi wafanyakazi wao mishahara yao bali huwapa pesa ndog itokayo kwa mgen kama mboneka ila mishahara ndyo huzungushana na madeni ya mishahara imelumbikizan toka mwaka ule wa koron mpak sas
Mnapikaga bangi au?
 
katika kampuni za utalii mliman kilimanjaro kuna kampun 1 haiwalipi wafanyakazi wao mishahara yao bali huwapa pesa ndog itokayo kwa mgen kama mboneka ila mishahara ndyo huzungushana na madeni ya mishahara imelumbikizan toka mwaka ule wa koron mpak sas
Ni kwanini huwezi kuandika kwa ufasaha?
 
Serikali ya Sudan Kusini imeagiza kufungwa kwa Shule zote Nchini humo kuanzia leo March 18,2024 kwa muda usiojulikana kwa sababu ya wimbi la joto ambalo linaweza kusababisha joto kuongezeka hadi 45C (113F) amnapo msisitizo umetolewa kuwa Shule itakayokiuka agizo hilo itafutiwa usajili.

Wizara ya Afya na ya Elimu pia imewataka Wazazi kuwazuia Watoto wao kucheza nje kwa muda mrefu, wakisema joto hilo linaweza kudumu kwa wiki mbili “Tayari kuna visa vya vifo vinavyohusiana na joto kupita kiasi vinavyoripotiwa”

Wiki iliyopita Watoto 15 waliripotiwa kupoteza maisha kutokana na homa ya uti wa mgongo na magonjwa mengine yanayohusiana na joto Nchini Sudan.
 
Back
Top Bottom