Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

Samatime apewe maua yake..mpaka kule X anakiwasha ila apunguze kuandika bandiko refu..Unakuta anaweka uneccesary point uzi unakua mreeefu mpaka unakosa radha hasa ukijumlisha wabongo wengi hawapendi kusoma maudhui ndefu..ila jamaa anajua sana🔥..

Kwenye ufundi kuna Jitu la miraba minne🔥huyu nae ni balaa
 
Hivi mshana naye anafanya review za magari?!

Samatime yuko review zake ni za kibiashara zaidi zinalenga zaidi kuuza magari anayoagiza au kuuza aliyonayo

JITU LA MIRABA MINNE anayajua magari lakini huwa hafanyi review za magari

Dr mechanics anakupa mbivu na mbichi yaani anachimba kote upande wa mabaya nq upande wa mazuri maana hakuna kilichokamilika!

Kibongo bongo Dr Mechanics yupo njema sana.
 
Hao watu ni mafundi wa magari? Tofautisha kuchambua magari na kuwa fundi
JituMirabaMinne huyu ni fundi na anaingia deep Sana kwenye magari tofauti na wengine wanaofanya biashara za mitandaoni...
Huyo samatime kuna siku alikuwa anapewa darasa hapa jukwaani na jitumirabaminne kuhusu matatizo ya BMW X1 20i...alifunsishwa vitu ambavyo havijui na hakuwahi kuvijua.

Hao wengine ni wajanja Tu wa mjini
 
Mwamba hana maringo,ukimcheck hata kwa WhatsApp anatatua shida.jitumirabaminne
 
Abel Shoo wa East cars yupo juu kwa video reviews, Samatime review za kuandika

-Abel Shoo wa East Cars ana review magari akiwa anayaendesha ama kuyachambua live tunayaona, ni review za hands on, Videos zake pia zina ubora wa picha mzuri, lighting, sauti, n.k.

Samatime yupo vizuri kwenye Kureview kwa kuandika
 
Samatime ana page yake whatsap,inaitwa samatime coaching,huko kuna manguli kweli kweli,sama mwenyewe sometimes anatulia kwa adabu anameza madini, hilo group ni moto
 
Abel Shoo wa East cars yupo juu kwa video reviews, Samatime review za kuandika

-Abel Shoo wa East Cars ana review magari akiwa anayaendesha ama kuyachambua live tunayaona, ni review za hands on, Videos zake pia zina ubora wa picha mzuri, lighting, sauti, n.k.

Samatime yupo vizuri kwenye Kureview kwa kuandika
Weka link ya account yake kwa videos
 
Back
Top Bottom