Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,186
- 10,922
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.
Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo halikutarajiwa tena kusikika Hamas wakipigana.
Kundi la Alquds limetoa taarifa la kupiga kikundi cha askari wa Israel na kuwasababishia vifo na majeruhi kadhaa.
Upande ambao Israel imeshindwa vibaya ni katika kupata vikundi vya koo za kipalestina ili ivipe nguvu dhidi ya Hamas na kuwa mawakala wao katika kuitawala Gaza.
Vikundi kama hivyo vimepatikana na baadhi kupokea vifaa vya kazi lakini vyote vimeonekana kujikurubisha na utawala wa Hamas badala ya Israel.
Mtego kama huo uliwanasa Marekani kule Afghanistan na hatimae pesa yote ya walipa kodi wa Marekani ikapotea au kuangukia mikononi mwa Taliban.