Msaada sio Kampeni ni msaada tu wana CCM wataka kugombea ubunge anzeni kumwaga misaada kwa jamii yenye uhitaji kwa spidi kali msiogope wabunge waliopo

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,202
4,614
Kwenye fomu ya CCM ya kuomba kugombea ubunge kuna kipengele kinachotamka kuwa umekifanyia nini chama.Jibu la hapo ni lazima uwe umefanya kitu kama mwana CCM kimojawapo ni kusaidia kutatua kero ya wananchi kwa kuwapa misaada jamii ya wananchi wengi

Msaada sio Kampeni ni msaada tu wana CCM wataka kugombea ubunge anzeni kumwaga misaada kwa jamii yenye uhitaji kwa spidi kali msiogope wabunge waliopo

Wabunge waliopo wakiwatuhumu kuwa mko kwenye kampeni waambieni wazi kuwa kipindi cha kampeni bado kutangazwa kwa hiyo hakuna kampeni zaidi ya kujitolea kutatua kero za wananchi .Kuwa ni kutoa tu misaada kusaidia jamii yenye uhitaji ambayo haiwezi tu achwa na shida zao

Jamii ya uhitaji ikihitaji msaada kutatuliwa hiyo sio kampeni ni 8tatuaji t8 wa changamoto inayokabili jamii
Na mnaposaidia jamii wala msihusishe mbunge aliyepo nendeni moja kwa moja kwenye changamoto msipitie mtu wa kati mbunge aliyepo

2024 chama cha CCM kupata ushindi mkubwa kinahitaji wana CCM waliotatua changamoto kibao wao kama wao badala tu ya kusubiri serikali ya CCM itatue hizo changamoto
 
CCM huwa inatumia rushwa pekee
Kutatua kero za wananchi zinazowajabili sio rushwa.Rushwa ni kile mtu anatoa kwa mtu binafsi kuhonga kama rushwa kwa faida yake mwenyewe mhongwaji ya kibinafsi

Kutatua kero ya jamii sio rushwa mfano jamii inahitaji hiki au kike huko ni kutatua kero za jamii sio rushwa
 
Sawa
 
Back
Top Bottom