jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

    Wakuu habari zenu? Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo. Ahsante in advance.
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifunga Yanga ya Gamondi

    Nimeshuhudia ASAS Djibouti, KMC na hata JKT wote wakicheza mpira unaofanana walipocheza na Yanga ambao umesababisha wakaadhibiwa vibaya. Leo nitatoa maoni yangu kwa timu zingine zitakazokuja kucheza na Yanga siku, wiki na miezi inayokuja nini wanatakiwa wafanye ili wapate matokeo. Kwanza...
  3. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuseti Dream league soccer 23 Simba SC mod.

    Salaam wakuu. Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini. Je, tatizo Nini wakuu? Mwenye uzoefu anipe msaada🙏🏿🙏🏿
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

    Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results: Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
  5. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
  6. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupandisha version kwenye game la ETS 2

    Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
  7. Mributz

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujenga nyumba yako bila stress au kuvunjika moyo: vigezo vya kumchagua fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubora

    JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa ujenzi unaweza kuathiri sana ubora na gharama ya nyumba yako? Kama unataka kujenga nyumba yako, ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya bora kwa wote: Jinsi ya kufika malengo ya utawala bora

    Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika utoaji wa huduma za afya. Kuimarisha utawala bora kunahitaji ushirikishwaji wa wananchi, uwazi...
  10. MrWings

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani unaweza kumtambua mdada anae danga( mdangaji )?

    Habari za mda huu wakuu, Leo nimeamua kulileta suala Hili ili tupeane experience ya jinsi Gani unaweza kumtambua mdada kuwa ni mdangaji au Malaya. Kwa mimi binafsi huangalia vitu vifuatavyo, 1.nywele huwa Wana zibreach 2.huvaa vile viskin vya kubana, kirefu au kifupi 3.huvaa Yale masuruali ya...
  11. Brilliant Bryan

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu

    Jinsi ya Kuwa na Mahusiano ya Muda Mrefu na Mbinu za Kufuata Mahusiano ya muda mrefu ni kitu ambacho kila mtu anatamani kuwa nacho. Ni muhimu kutambua kuwa mahusiano ya muda mrefu yanajumuisha kazi na juhudi za pande zote mbili. Hapa chini, tutajadili mbinu kadhaa ambazo zinaweza kusaidia...
  12. Street brain

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Ni muhimu kumsikiliza mwanamke wako kwa makini, hata kama unaona anaongea maneno yasiyo na maana au anajieleza kwa njia ambayo haieleweki kwa urahisi. Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kusikilizwa, na kuwa na mazungumzo ya kuaminiana na wazi ni muhimu katika uhusiano wowote. Hapa kuna sababu...
  13. WA UKAYE

    JamiiForums Tanzania Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

    Habari wadau, Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani. Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer Naomba wadau kama kuna...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  15. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  16. Abie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kulima shamba jipya

    Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani. Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu, ukasafisha na kupanda mazao bila kukatua au kuweka matuta? Inawezekana? Na mazao yakakua vizuri tu? Naombeni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

    Habari wakuu, Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus). Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko? Naomba kuwasilisha.
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kupunguza/ kujiondolea stress haraka ili upate amani na furaha

    Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia. Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia. Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu. Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
  19. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya. wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za biashara ambazo kama wakiweza kuzi-finance basi baada ya miaka Kumi tungeweza kuwaita mabilionaire,Ila...
  20. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwawezesha Wazee na Watu Wenye Ulemavu: Jinsi ya Kuheshimu Haki na Ustawi Wao katika Jamii

    KUWAWEZESHA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU: JINSI YA KUHESHIMU HAKI NA USTAWI WAO KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Muktadha: Wazee na watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu. Hata hivyo, mara nyingi wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ubaguzi, unyanyapaa...
Back
Top Bottom