jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kurt Vonnegut: Jinsi ya Kuandika kwa Mtindo wa Kibinafsi na Kuvutia

    Jinsi ya Kuandika kwa Mtindo Kurt Vonnegut, mwandishi wa riwaya kama vile "Slaughterhouse-Five," "Jailbird," na "Cat's Cradle," aliulizwa jinsi ya kuweka mtindo wa kibinafsi katika maandishi yako. Waandishi wa habari na waandishi wa kiufundi wanafundishwa kutofunua chochote kuhusu wao wenyewe...
  2. Beberu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

    Habari zenu wakuu, ni jioni sasa, akili yangu inaniambia wacha nishee nanyi Watanzania wenzangu kitu kimoja kuhusu kusave pesa ili kuweza kufikia uhuru wa kiuchumi na kutimiza ndoto zetu iwe kujenga, kununua gari au kuanzisha kampuni. NB: This is not financial or life advice, za kuambiwa...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuchochea uzalendo na uwajibikaji miongoni mwa watanzania

    Uzalendo na uwajibikaji ni mambo ambayo yanapaswa kwenda sambamba kwani moja likilegalega, jingine huenda mrama. Ili kujenga uzalendo wa dhati na wa kudumu katika nchi hii, ni lazima uzalendo huo uanzie kwenye uongozi wa juu. Katika familia, baba na mama wanapaswa kuwa mfano bora kwa watoto wao...
  4. O

    JamiiForums Tanzania SoC03 Makosa ya Utawala Bora na Jinsi ya kuyatatua

    Tanzania ni moja ya nchi zinazokabiliwa na changamoto kubwa katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali. Kuna baadhi ya mifano ya udhaifu wa utawala bora na uwajibikaji nchini Tanzania. Hapa chini nitatoa mifano michache: Sheria: udhaifu katika mifumo...
  5. Born_T0WN

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi na Uadilifu: Nguvu ya Uongozi Bora katika Kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii

    UWAZI NA UADILIFU: NGUVU YA UONGOZI BORA KATIKA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII. Imeandikwa na: MwlRCT Uongozi ni nguzo muhimu katika jamii yoyote. Ni kupitia uongozi bora ndipo jamii inaweza kupiga hatua na kufikia malengo yake. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto nyingi katika uongozi...
  7. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuepuka kupata watoto wenye ulemavu au kupata watoto haraka kwa mwanamke tasa au mwanaume mgumba

    It goes down in one word! ZINC... Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini. Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu. Upungufu...
  8. OGTV

    JamiiForums Tanzania Marvel's Spider-Man: Miles Morales GAME: Jinsi Ya Kucheza Spider Man kwenye PS5

    FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
  9. Namora

    JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

    Wakuu msaada pls. Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer. Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint. Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer. Muongozo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  11. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili kuwa mwanachama wa JamiiForums.com

    Habari, Kama bado sio Mwanachama wa Jamiiforums unaweza kujisajili kwa kufuata hatua hizi chache na rahisi zifuatazo: 1. Pakua App ya Jamiiforums kwenye kifaa chako (Simu au Kompyuta) Katika hatua hii unatakiwa kupakua App ya Jamiiforums na ku-Install ndani ya kifaa chako. App hii utaipata...
  12. Candela

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kununua gari kwa gharama zisizo stahili

    Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei. Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua. Nitazungumzia...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua kufuli ufunguo wako ukipotea

  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

    Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua. Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

    Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
  16. OGTV

    JamiiForums Tanzania GTA V: Targeted Risk | Jinsi ya Kucheza

    Targeted Risk is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Dom Beasley, involving protagonist Franklin Clinton. It's the 3° mission for Dom Beasley, after the Liquidity Risk mission. Being a Franklin mission, this Strangers & Freaks mission is required for 100% completion...
  17. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kumpatia Mtu Mtaji na Kumasaidia kukuza Biashara yake

    Habari za wakati huu wadau Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa - Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment) Mada hii ni mtiririko wa mada kadhaa ambazo huwa naziandika mara kwa mara kwa lengo la kuchangia katika...
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupunguza Mawazo Baada Ya Kuachwa.

    Unapoachwa na mtu umpendaye inauma. Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana. Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu kingine zaidi ya mawazo ya kuachwa. Kila ukiwaza unaumia. Unaona mambo ni mabaya kila sehemu, hupati...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment)

    Habari za wakati, Ni matumaini yangu kwamba mu wazima na mnaendelea vyema katika utendaji wa shughuli zako na ujenzi wa nchi. Leo nimeleta mjadala mfupi kuhusu maneno ambayo tumezoea kuyasikia ambayo ni Venture Capital na Angel Capital.Ukifanya utafiti wa haraka wa google utaona maana ya...
  20. Liyan

    JamiiForums Tanzania Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Back
Top Bottom