Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 622
- 1,276
Ngoja Mimi Leo nitoe njia ambazo Mtu anaweza kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha biashara ambayo anatarajia kuifanya.
wote bila Shaka Tunakubaliana kuwa watu Wengi wapo na ideas nzuri Sana za biashara ambazo kama wakiweza kuzi-finance basi baada ya miaka Kumi tungeweza kuwaita mabilionaire,Ila changamoto inayokuja hapa ni Jinsi ya kupata mtaji.
huu NI ushauri ambao MTU anaweza kuufata ili kufanikisha kupata kiwango cha mtaji anachakihitaji.
Ila Kwanza ningependa kusema kuwa kiwango cha mtaji kinategemeana na uwezo wa MTU alionao sasa.Kwa njia za kupata mtaji zipo nyingi Ila hapa nitataja njia ambazo ni za juhudi binafsi (personal efforts) na sio zile za bahati (yaani kama kurithishwa,kupewa zaidi,kupew na mzazi NK)
1. Kupitia Akiba (personal savings)
Hii ndio njia maarufu zaidi ambayo MTU anaweza kuitumia kupata mtaji Kwa ajili ya Kuanzisha.Mtu mwenye malengo ya Kuanzisha biashara lazima awe na uhakika wa kuweka akiba angalau asilimia 30% ya kipato anachokipata ( monthly, weekly or daily)
Kipato hiki kinaweza kutoka kwenye mshahara,vibarua au Kazi yoyote ambayo unaifanya na unakupa kuishi.Acha visingizio kuwa pesa hazitoshi ,hata kama unaingiza Shilingi elfu mbili/2000 Kwa siku basi weka akiba Mia Sita/600 tumia 1400,hii Mia Sita Kwa mwaka mzima ni 600 × 365 = 219,000/= Kwa miaka mitano utakuwa na zaidi ya milion Moja.
Hiyo ni Kwa MTU mwenya Maisha ya chini kabisa, kipato chake Kwa siku ni 2000( chini ya Dola Moja)
vipi Kwa Yule ambae kipato chake Kwa siku ni elfu Kumi? Ndio maana nilisema huko juu ili kufikia kiwango flani cha mtaji Hali yako ya sasa itakuwa na effect za Moja Kwa Moja.
Cha msingi NI kuwa serious na kuweka akiba weka juu ya 30% ya kipato chako,na hakikisha unaweka akiba kila unapoingiza kipato ie daily, weekly or monthly depends on your income period.
Kuweka akiba sio rahisi hata kidogo,si rahisi hata kidogo,ndio maana MTU anaweza kuweka akiba Kwa mda fulani lakini ghafla akaitumia akiba yake kwenye starehe au matatizo mbali mbali ya kimaisha.
Kama unahitaji kuweka akiba serious fanya haya;
1.Kwanza panga utaweka akiba Kwa mda gani na ungependa baada ya MDA huo UWE umefikia kiasi gani cha fedha,kisha chagua kiwango cha fedha ambacho itakubidi kila siku/wiki/mwezi uweke ili ufikie lengo ndani ya muda kwa mfano kama lengo ni milioni moja basi kila mwezi itabidi uweke zaidi ya elfu tisini Kwa mwezi.
2.Angalia mbinu ambayo utaweza kuweka akiba bila kuitoa kwa Muda mrefu.Huu ni ushauri wangu;
a.Tumia akaunti za benki ambazo zipo maalumu Kwa ajili ya kuweka akiba.Akounti hizi hazikuruhusu kutoa pesa mpaka Mda ufike,Kwa mfano Kwa benki ya NBC kuna malengo fasta account, wasiliana nao wakupe maelezo zaidi.
b.Fungua akaunti ya benki Ila usifungue huduma ya ATM wala SIM banking.Hii itakusaidia kwani kutoa pesa itakubidi uende banki kabisa huu usumbufu itakusaidia kuairisha kutoa pesa.
c.Tumia UTT AMIS,hati fungani wasiliana nao watakupa maelekezo zaidi(hii NI nzuri zaidi)
Cha msingi ili Uweze kuweka akiba na kufanikiwa:
- Acha starehe
-punguza gharama zako Kwa kiwango unachoweza,kwa mfano Acha kununua vitu kama huna uhitaji navyo,nunua vitu Kwa jumla,epuka gharama za usafiri Kwa kutembea kwenda kazini,iheshinu hata shilii Mia Moja,na vitu kama hivyo!
njia hii ya pili sitaelezea Sana ,Kwa kuwa ni njia inayowafaa Sana watu ambao tayari wanamtaji kidogo au wanabiashara inayoendelea. Si rahisi kupata mkopo kama wewe huna mtaji kabisa,au huna biashara .
3. KUANZISHA BIASHARA YA PAMOJA ( PARTNERSHIP BUSINESS)
hii NI njia ambayo inatumika pale unapokuwa na mpango wa biashara lakini mtaji unoahitajika ni mkubwa kuliko kiwango cha pesa ulichonacho,hapa itakubidi utafute washirika ( partners) ambao wataongeza mtaji kufikia kiwango cha pesa kinachohitajika.Kuanzisha biashara hii itategemeana na ukubwa wa biashara, kiwango cha pesa kinachohitajika na idadi ya washirika.
Kwa ushauri wa bure,wasiliana na Mimi;
Raphael kalolo (mwanafunzi wa shahada ya Kwanza ya biashara Katika chuo cha biashara CBE dar es salaam)
Phone/ watsapp; +255756401790
Email: raphaelmathewkalolo@gmail.com
Instagram: raphaelkalolo23

- panga bajeti yako na uifate Kwa usahihi.
- ongeza kipato chako Kwa kadri unachoweza, mfano kufanya side hustle MDA wako wa ziada
- kuwa na malengo ya MDA mrefu, mfupi na kila siku.