Madeintanzania_Mozzer
New Member
- Jul 25, 2018
- 1
- 1
Habarini ndugu wadau wa Jamii Forums,
Najitokeza kwenu ili niweze kupata msaada wa kupata bank statement kwa ajili ya kuombea visa ili niende shule USA.
Binafsi nina kiasi cha milioni 40 ambacho nimejihifadhia kwa ajili ya ada na matumizi mengine lakini hiki kiasi bado ni kidogo na nimefikia hatua sijui wapi pa kupata kiasi kilichobaki ili niweze kuomba visa, nahitaji nyongeza ya milioni 45 ili nikamilishe hili jambo.
Nitashukuru wadau kama nitapata muongozo na msaada wa jinsi ya kupata sponsor kwenye hili.
Asanteni sana.