Jinsi ya kuongeza uwezo wako wakati katika tendo la ndoa

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,947
Habari ya wakati huu mashabiki wa Azam na Yanga, ninyi wengine mtapewa salamu zenu na Prince Dube Mfalme wa Bulawayo

Leo nataka niongee na wanaume, kama kawaida beberu wenu J nakuja na mada ya jinsi ya kuwasaidia wanaume kuongeza nguvu za kiume, zifuatazo ni hatua hizo tano zitakazo kusaidia kupeleka moto sana, mpaka itoe harufu ya mishkaki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au mpaka maji aite mma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

#1. Tafuta pesa, hakikisha una pesa, japo uwe na pesa ya kuweza kula mwezi mmoja bila hata kufanya kazi yeyote, ishi sehemu nzuri, geto liwe na vitu vya msingi kama fridge lenye mazaga zaga kama yote, Pasi, Blender, gas full, Tv yenye king'amuzi cha Azam kilicholipiwa mwezi mzima, fridge lenye matunda, mboga mboga pamoja na nyama, bila kusahau vitu kama asali na viungo vingine, kama huna pesa acha kutaka kupeleka moto masaa matatu, wewe piga moja kama la nguruwe kisha uendelee kutafuta pesa.

Kwanini nasema utafute pesa kwanza; Kuleta kujiamini kwako, kama huna pesa hutajiamin na hutaweza piga show nzuri. Kukufanya urelax, ili upige show nzuri inabid uwe umerelax, mwili usiwe na bugudha za hapa na pale, na yote haya yanaletwa na pesa.

Hatua zinazofuata zitahusisha matumizi ya pesa, hivo huwezi ziishi hizo kama huna pesa,

Kumfanya mdada awe na hisia, kama mnavyojua mapenzi ni hisia, na hawa wadada siku hizi hisia zao zipo kwenye pesa (hata kama hutaki hii ni kweli), ukiwa na pesa mdada atakupa uno ka lote hivo lazima upige show ndefu, kama huna pesa ndo utasikia mdada ni gogo kitandani na utaishia kupiga show mbovu, huwezi pewa uno kama analopewa ndugu yetu DeepPond na mama J kama huachi kodi ya meza ya kueleweka.

#2. Kula vizuri, hapa kwenye kula vizuri namaanisha vitu vifuatavyo
โœ“ Kula matunda na mboga mboga kwa wingi, nashauri ule matunda kama ndizi, parachichi, tikiti na karot nyingi, hakikisha kila siku umekula at least ndizi na kipande cha tikiti

โœ“Punguza vyakula vyenye mafuta mengi kama vile chips, nyama ya kukaanga na junk foods zote, vyakula hivi vitaenda kujazana kwenye mishipa ya damu na hivyo kuzuia damu ya kutosha kwenda kwenye mshedede ili kupeleka moto wa kutosha (ndo mana wenye vitambi hawapigi show ya kuvunja chaga)

โœ“ Kula vyakula vya protein vya kutosha, hapa vyakula kama nyama unashauriwa uzile ila hakikisha ambazo hazina mafuta, tafuta nyama yako ya ng'ombe ila hakikisha haina mafuta mengi, kula samaki, dagaa, maharage etc (hapo kwenye samaki na dagaa ndo mana wasukuma wanapiga sana show) protein itasaidia kujenga mishipa ya damu kuwa imara ili kupeleka damu ya kutosha kwenye mshededeee,

โœ“ Punguza vyakula vya wanga sana na vyenye sukari sana kama ugali wa sembe na wali kwa sababu hivi vyakula vitakufanya unenepe tu uwe na kitambi kimoja heavy sana. Na ukiwa na kitambi hutapiga show nzito, kula ugali dona au ukiweza pata ugali wa mhogo itakuwa bora mara mia mana sukari iliyoko kwenye mihogo ni nzuri kwa afya

โœ“ Kunywa maziwa, Asali, tangawizi mara kwa mara kwa maana vitu hivi vina viinilishe sahihi kwa ajiili ya afya ya mshedede wako, ukiweza weka na karanga hapo kisha tengeneza kama juice, halafu iweke kwa fridge kila jioni ukitoka kwenye mishe zako piga glass moja nzito, ndio mambo ya kula yafuate,

โœ“ Kuwa na ratiba ya kueleweka ya kula, usiwe unakula kula tu kama kiwavi ๐Ÿ˜‚ jitahidi uwe unakula kwa ratiba, kama chai ni saa 3 bas hakikisha mara nying chai ni saa tatu, same applied kwa milo mingine ya siku, hii itasababisha mwili kuwa na nguvu wakati wote

โœ“ Kunywa maji mengi, hapa hapahitaji siasa nyingi kama za Mbowe na Zitto, kunywa maji japo lita 2 kwa siku, ni muhimu kwa ajiili ya show nzito

#3. Fanya mazoezi, mazoez ni muhimu sana kama unataka kuipiga ile kitu mpaka itoke moshi mwekundu, au mpaka itoe harufu ya mishkaki iliyoongulia, inabidi ufanye mazoez at least kwa mara 4 kwa week na kila unapofanya iwe at least kwa saa moja au zaidi, faida za mazoezi kwa mwanaume ni zifuatazo;

โœ“ Kukupa stamina, hapa mzee unakuwa na uwezo wa kupiga ile kitu masaaa mawili mfululizo na bado hujaishiwa pumzi, yan bado unaweza hema vizuri tu, kuna wale watu akipiga dakika kumi tu utakuta anahema kwa sauti hadi majirani wanaanza kusikia anavyohema, akifika nusu saa inabidi asogezewe feni karibu kwa nusu saa ili aheme vema, kisha akitoka hapo anywe maji nusu lita na panaldo halafu apewe week moja ya kupumzika ndo atarudi kuendelea na show, Mwanaume stamina bana

โœ“ Kupunguza mafuta na manyama uzembe, mafuta yanaziba mishipa ya damu na hivo kufanya damu kwenda kwa kiwango kidogo kwenye kiungo fundi mchakataji, hivyo unashauriwa upige mazoez ili kuondoa mafuta hayo na hivyo kuiacha mishipa ikiwa na uwezo wa kupeleka damu ya kutosha kwenye mshededeee ili uweze kuwa wima kwa muda mrefu zaidi

โœ“Kukupa hisia zaidi, utafiti unaonyesha watu wanaofanya mazoez wanafurahia zaidi tendo kuliko wale wasiofanya tendo

#4. Tafuta Mchumba mzuriii, chuma haswaa mwenye shape lake kali ili aweze kukupa hisia zaidi na hamu iwe juu, ya kupiga tena na tena na tena, sio unachukua dem ukishapiga bao moja unaanza kujilaumu kwanin umepiga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au ukishapiga unaanza kuona aibu kutoka nae nje, tafuta dem ambae ukipiga bao tisa ukaona paja lake tu mshedede unainuka kutaka bao la 10, usitafute demu mwenye sura ya baba, pata chuma safi, mali iliyo safi ambayo haitoi harufu chafu, yenye harufu nzuri kama utuli, yenye sauti murua etc hapa hata ndugu DeepPond na Mshana Jr watakubali

#5. Acha punyeto na kutazama video za Porn, kama mjuavyo ile kitu ni hisia tupu, hivyo basi ukijizoesha kutazama video za ngono na kupiga nyeto utaathirika ikiwemo pamoja na kulegeza mishipa ya uume na hivyo kushindwa kupiga show ya kumkimbiza mchuchu na pichu mkononi, jikaze, jilazimishe hadi uweze kuacha kupiga nyeto na kutazama video za ngono.

Ni matumaini yangu ukizingatia ushauri huu utapata faida kede wa kede katika maisha yako ya kupeleka moto, na hivyo kuchakata papuchi kwa grade A+, wachakataji wote kama Zero IQ et al wataungana nami kuhusu mbinu hizi.

Nb. Tatizo likizidi Nenda ukamuone Daktari.
Ahsante kwa kuwa nami wakati wote huu, Mpaka wakati mwingine tena,
Ni mimi wenu yule yule
Beberu J
Alamski
 

Attachments

  • Picsart_23-06-06_12-53-45-101.jpg
    Picsart_23-06-06_12-53-45-101.jpg
    223.1 KB · Views: 57
Huu uhuni hata shetani hajawahi kuufanya
Mkuu hakuna uhuni hapo ๐Ÿ˜‚ haya ni mambo ya kibepari tu pamoja na kupeana elimu juu ya show kali wakati huu tukielekea weekend
 
Mkuu hakuna uhuni hapo ๐Ÿ˜‚ haya ni mambo ya kibepari tu pamoja na kupeana elimu juu ya show kali wakati huu tukielekea weekend
Kweli ni ubepari uliokomaa (ubeberu). Maana unatangaza na biashara kwenye mada tofauti kabisa. Porojo kibao ila target yako ni faida tu
 
Mtu anayewaza ngono masaa haya ni trash tanker
Umesahau kuna walinzi, madaktari, wauguzi et al ambao wao week nzima hii wapo night shift hivo muda wao wa kuwaza ngono na kungonoka ni huu wa sasa ? Dunia ipo active masaa 24, na ndo mana hata KENSHOP tunafanya delivery na kukuleta mzigo wakati wowote na mahali popote ulipo, ndani ya Dar, cha kufanya tupigie +255764803515
 

Attachments

  • Picsart_23-06-06_11-35-16-727.jpg
    Picsart_23-06-06_11-35-16-727.jpg
    116.2 KB · Views: 37
Kweli ni ubepari uliokomaa (ubeberu). Maana unatangaza na biashara kwenye mada tofauti kabisa. Porojo kibao ila target yako ni faida tu
Mkuu hujawahi ona tangazo la soda kwenye kipindi cha mahaba ๐Ÿค” haya mambo ni kawaida tu japo Mods naona wame edit vichwa hawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umesahau kuna walinzi, madaktari, wauguzi et al ambao wao week nzima hii wapo night shift hivo muda wao wa kuwaza ngono na kungonoka ni huu wa sasa ? Dunia ipo active masaa 24, na ndo mana hata KENSHOP tunafanya delivery na kukuleta mzigo wakati wowote na mahali popote ulipo, ndani ya Dar, cha kufanya tupigie +255764803515
Sasa Jug limeingiaje kwenye point ya jamaa
 
Mkuu hujawahi ona tangazo la soda kwenye kipindi cha mahaba ๐Ÿค” haya mambo ni kawaida tu japo Mods naona wame edit vichwa hawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si ndio maana yake, kipindi kinaweza kuwa gelesha tu
 
Si ndio maana yake, kipindi kinaweza kuwa gelesha tu
Mkuu haya mambo ndio yanavyokwenda hapa duniani, wew hata usijali an, kikubwa ninatumain umepata elimu ya nn cha kufanya ili upige show kubwa
 
Mods mnazingua, mnabadili vichwa vya habari kadri mpendavyo ๐Ÿ’” kichwa changu cha habari kilikuwa na shida gani ? Mmeleta kichwa chenu na ni kibaya balaa, hakina mvuto hata
 
Sijaelewa, nilichoelewa unauza Majagi
Sio majagi tu mkuu, nauza vifaa vyote vya umeme vya majumbani, kama Blender, TV zote tena kwa bei nzuri, fridges, Pasi, heater, Majagi ya umeme etc, kikubwa nichek WhatsApp+255764803515
 
Sio majagi tu mkuu, nauza vifaa vyote vya umeme vya majumbani, kama Blender, TV zote tena kwa bei nzuri, fridges, Pasi, heater, Majagi ya umeme etc, kikubwa nichek WhatsApp+255764803515
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapo kwenye kukucheki
 
Kwahiyo yote hayo kwaajili ya kumuimpress mdada mliekutana ukubwani.Vijana mnahangaika sana.


Me nashauri fanya yote hayo halafu vuta kabangi kako,achana na ngono tafuta starehe ingine.SEX IS OVERRATED.

Mkuu kuna watu starehe yao ndo hii, ndo mana nawapa shule hapa
 
On point, nguvu za kiume sikuzote ni afya kwa ile tafsiri yake pana.
Fit kimwili
Fit kiuchumi
Fit kihisia
Fit kijamii
Afya, fit kila kitu ndio nguvu za kiume yenyewe.
 
Back
Top Bottom