inauma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  2. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Ipi inauma zaidi?

    Kati ya kudhulumiwa pesa na kusalitiwa na mpenzi unayempenda sana ipi inauma sana?
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.

    Jana nimemwambia My girlfriend. Kuwa sitokuwa tayari kuendelea kuwa naye. Hivyo nam release. Ili mimi nikatafute changamoto nyingine. Amelalamika na kulia sana. But nimemwambia sina namna. Nimemuuliza kama yupo tayari tuendelee kuwa pamoja ila asitegemee niwe nampa pesa. Amenyamaza hajajibu...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Inaitwa new scramble for Afrika, shehe wa UAE ana own 8% of our forest na siyo kwetu tu na kwingine labda inaeleza safari nyingi za UAE kila mara kulingana na hiyo habari kutoka kwenye renowned newspaper hakuna faida yoyote tutaipata Shehe wa dubai atavuna mabilioni someni wenyewe … The new...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kushindwa hakuumizi sana, lakini kushindwa kunakotokana na usaliti inauma kuliko kitu chochote

    Kwema Wakuu! Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara. Lakini kushindwa kunakotokana na usaliti sio tuu inaumiza bali pia inaua nafsi na roho. Fikiria mtu uliyekuwa unamuamini na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Roho inauma sana

    Wakuu kesho Ilikuwa nianze safari ya kwenda German kwenye tour ya kimasomo, baada ya kukidhi vigezo vyote jamaa wakasema tutupeme bio data of password, bahati mbaya mimi hata passport Sina aisee wenzangu wakatuma kesho wanaanza safari. Tour hii ipo sponsored na chuo chetu apa jijini dar na chuo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Walioajiriwa wanatuambia wao ni wezi na kwamba wanaamini hata sisi wakitupa ajira tutaiba hivyo bora watuletee wageni watuibie

    Waliopewa ajira watoe huduma wanatulazimisha tusio na ajira tuwalipe kitu kidogo ndipo watu ajira Walioajiriwa wanatuambia wao ni wezi na kwamba wanaamini hata sisi wakitupa ajira tutaiba hivyo bora watuletee wageni watuibie. Walioajiriwa wanatuambia tusilalamike na kushauri vyema la sivyo...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Kufulia wanakuita kwa kimombo "Broke", kwa kinaijeria "sapaa", kusikiage tu! Nakumbuka niliwahi kuwa na bajeti ya 200 kwa siku, nakula mhogo wa kuchemsha imeisha hio hadi kesho, pesa ikakata nikawa nafunga safari natembea lisaa ni nje ya mji kidogo naenda kukwea miti ya mapera, nakula na huo...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  12. SPONSA

    JamiiForums Tanzania PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

    Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile. Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuiba Trillion 2 halafu kesho yake unamwambia mtu lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ni matusi, hii inauma sana

    Kuna wakati leo nimekaa natafakari sana jinsi tunavyobanwa katika kila angle ili tulipe kodi, hasa hasa hili suala la tozo za miamala, linaumiza sana. Halafu unakuja kuambiwa watu wanaiba pesa tulizolipa kodi, nasikia kuna hadi trillion 2 zimelambwa. Hapa nimetoka kutuma pesa haifiki hata laki...
  14. kukumsela

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi, kweli timu ya Simba ni yakuzomewa kutoka Mtwara hadi Dar?

    Ameandika Ahmed Ally === Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi. Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea ni tofauti ya mtu na mtu kuhimili maumivu. Ndo maana wengine wanalia, wengine wanazimia, Wengine...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
  17. B

    JamiiForums Tanzania "Inauma" By Aslay

    Hii ndio nyimbo Bora ya muda wote katika karne ya 21. Mkuu wa Burudani Tanzania nimeipitisha Nikiwa Udinde-Songwe
  18. mweatu

    JamiiForums Tanzania Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

    Pale ambapo upo mkoani na unapambana kupata ajira, halafu unapata interviews za Dar mara kadhaa, na unafikia kwa washikaji zako huko Dar ambao kiasi fulani maisha wameyaweza. Ni wa umri wako, wengine hata classmates. Unakuta wana mijengo saafi, usafiri, unakaa pale comfortably unakula...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, bajeti kuu ya serikali 2022/2023 inauma na kupuliza?

    Je, tutegemee kupanda kwa bei ya viberiti au mi ndio sijaelewa?🤔 Maanake safety match ndio bidhaa pekee ambayo haijapanda bei kwa miaka mingi
Back
Top Bottom