Walioajiriwa wanatuambia wao ni wezi na kwamba wanaamini hata sisi wakitupa ajira tutaiba hivyo bora watuletee wageni watuibie

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Waliopewa ajira watoe huduma wanatulazimisha tusio na ajira tuwalipe kitu kidogo ndipo watu ajira

Walioajiriwa wanatuambia wao ni wezi na kwamba wanaamini hata sisi wakitupa ajira tutaiba hivyo bora watuletee wageni watuibie.

Walioajiriwa wanatuambia tusilalamike na kushauri vyema la sivyo watatambia kupitia vyombo vyetu vya habari kwamba tumeongwa

Walio na ajira wanatuambia hata kama tumevamia maeneo wanatoa bilion 11 kutulipa fidia ila ardhi hiyo tunayorejesha atapewa mtu mmoja special. Malipo ya fidia tutatakiwa kumlipa anayepewa ardhi siku za mbeleni

Waliosoma wanasema sisi hatuwezi chochote labda tutawaliwe
 
Nchi ngumu sana hii, tunalaumu tuu viongozi ila wananchi ndio hawapo serious na nchi yao
 
Wananchi kwa ujumla wetu hatuwezi kukusanya Mapato wala kutunga sera,
Kuna watu tumewapa hiyo kazi wafanye kwa niaba yetu,
Tunachoweza kufanya ni,kuandamana,kama Arab uprising,tuanzishe southsahara desert Africa uprising,au black Africa uprising,tupindue nchi,au tulianzishe kama sudan
 
Back
Top Bottom