SPONSA
Senior Member
- Oct 30, 2018
- 177
- 268
Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile.
Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi kukata tamaa kabsa. Nabaki najiuliza wanataka tujibu vipi hiyo mitihani yao? Kama unajibu vizuri unafeli sasa tujibu nini nisaidieni wadau kuna siri gani hapa katikati ya usahihishaji wao wa mitihani naomba kujua wadau nawasilisha.