inauma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, Nape Nnauye: Inauma kuona tunateswa na rasilimali zetu wenyewe. Wanahabri tusaidie

    HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 MEI, 2022 Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha...
  2. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania INAUMA SANA HUU UTARATIBU MBOVU.

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme wa5000ukagoma,nikaongeza wa 1000 ukagoma.Nikaweka 12000ndipo wakakubali tena umeme wa2000tu ile...
  3. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwakata Wapangaji hela kila wanaponunua umeme, unauma sana

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunua umeme unawatesa wapangaji, kwa kuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali? Juzi nilikuwa nanunua umeme wa Tsh. 5,000 ukagoma, nikaongeza wa 1,000 ukagoma. Nikaweka 12,000 ndipo wakakubali tena umeme wa...
  4. Gily Gru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inauma Sana

    Habari wana JF Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

  6. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano Dar, Dodoma, Dodoma Arusha. Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
  7. Jonas hemed

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    FIRST BREAKUP IN RELATIONSHIP MAKES FOREVER PAIN
Back
Top Bottom