saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,173
- 6,156
Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege usio na faida, hospitali eti ya kitalii ya rufaa wakati watanzania wengine wanalala maporini wiki nzima.
Magufuli alaaniwe na vizazi vyake vyote kwa ubaguzi huu wa kuibagua nchi ile ile moja hasa kanda ya kaskazini. Alikuwa mbinafsi na mbaguzi sana. Inauma watanzania wengine wanapiga picha juu ya maji barabara nne wengine bidhaa zao zinaoza maporini, hawana chakula, hakuna pa kulala, hakuna choo. Ni bora mgawe nchi kila upande utumie rasilimali zake kujiletea maendeleo yao. Mwendazake alikuwa shetani.
Najua watakuja washamba wenzake wenye roho km ya kwake, wabinafsi k,m yeye ila ukweli uko wazi. Rais mama yetu unahangaika na Ring Road ya Dodoma wakati watanzania wengine wanateseka vile ndani ya nchi ile ile hii siyo fair