hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye hii picha ya Wanajeshi?

    Wanajeshi wa nchi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja. UMEGUNDUA NINI KWENYE HII PICHA?
  2. JamiiForums Tanzania Kila napopata machungu ya Man Utd huwa narudi kuangalia hii picha kukumbukia ya kale.

  3. JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya uwekezaji kamwe Afrika haitasonga mbele

    Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu. Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni

    Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo. Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu. Mtakumbuka miaka kadhaa...
  8. JamiiForums Tanzania Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
  9. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

    If you know you know.
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024. Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali. Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege? Kikosi cha Simba kinachoanza Kikosi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  13. JamiiForums Tanzania Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kahama na Makambako hii miji iandaliwe kuwa miji ya viwanda na biashara kwani imeanza kujipambanua kama Kwala Pwani

    Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu. 2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia kuijadili na hapa tutajadiliana kwa hoja. Wale wenye hisia na mihemko ya kimbuzimbuzi tayari...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe hii ndo sababu ya yeye kukataa kunitunuku mbususu

    Kipindi cha nyuma niliwahi kuleta uzi kuwa nimekuwa introvert sana kiasi kwamba sina mazoea na jirani yeyote yule mtaani, hata kwa salamu tu, wanaJF mkanilipukia na kunishushia matusi ya kila rangi huku wengine mkijaribu kunibebesha mzigo wa kiburi. Nikaamua kuforce kubadilika ili nijichanganye...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi ni RAM sahihi kwa hii PC

    Habari Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati ya hizo mbili kaniambia PC3L ni latest inaweza isisome kwenye PC za zamani na PC3 ni ya kitambo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari Sana!! Nataka hii iwe kama nadhiri kwangu

    Wakuu nimetoka kutakari juu ya maisha ya kuoa nimeona bora jitihada zangu nielekeze kwenye kuwatumikia watu pamoja na kutoa huduma kuliko kuoa.. Ushauri kwa wale walio matowashi humu ndani nipeni changamoto zenu na mlianzaje Asanteni!
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

    List iko hivi, 1. 100 kilos - Ferre Gola 2. Ya Jean - Madilu 3. MayDay - Fally Ipupa 4. Kwangaru - Harmonize 5. Teacher Konde - Harmonize 6. Tetema - Rayvany 7. Vita Imana - Ferre Gola 8. Mario - Franco 9. Bora niinjoi - Jux & Diamond 10. Associe - Fally
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

    Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu. 1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa) 2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe) 3. Sina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…