hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

    Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
  2. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hii kitu (dns.adguard.com)

    Nilikuwa napata kero ya matangazo online..katika kupekuwa nimekutana na hiyo kitu nikaiweka kwenye setting kama yanavyoelekeza maelekezo naona matangazo sipati tena kwenye zile sites zote ambazo nilikuwa napata kero hiyo..je nauliza pamoja na kwamba matangazo hayaji ipi hasara ya kusett...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi nini kimemchukua mkuu wa UN muda wote hii hadi leo ndio analaani ugaidi uliofanywa na HAMAS

    Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua analaani HAMAS. Israel kamatieni hapo hapo piga....... ======================= UN Secretary-General...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Msio waislamu na mnaunga mikono ugaidi wa HAMAS, isomeni hii agano

    Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza. Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

    Kuna mengi mnaweza msingizia Rais nikanyamaza. Nikasemehe. Lakini hili la kusema ana maono.... Hapana hapa mnamkosea sana. Mlisema haijengi nchi, nchi haina uelekeo nikanyamaza. Nikasema anyway watu husema kile wanachoona wakifananisha na uzoefu wao. Mkasema anauza nchi nikanyamaza. Nikasema...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania TANESCO ivunjwe kwa staili hii

    Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii. Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali, na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme kwa kila...
  7. BANENI TOM

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

    Hello guys, mnaendeleaje? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala. Iko hivi; Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

    Naomba nisizungumze mengi...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hii njia ni salama na ya raha sana kwa mapenzi naenjoy sana

    kwa sasa kiukweli sitaki kabisa papuchi.... unanipenda nakupenda tunaenda sehemu nakupa MIC cheza nayo..... sitaki kabisa kujihusisha na papuchi magonjwa mengi sana na huko chini hakuna raha kama mtu kunyonya Hot Cream. yaanii huwa sina maneno maneno.... na hii ni rahisi tu naenda sehemu...
  11. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kimsingi watu wa namna hii wanapaswa kubadirika kabla ya mwaka kuisha!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kuna watu wanakera,wanaudhi na kutia kichefuchefu mno kwenye jamii ya watu waliostaarabika. Moja ya watu wanaokera ni wafuatao:- 1.WAPIGA MIZINGA Hawa wao huwa wanadhani kila pesa unawatafutia wao,badilikeni 2.WAAZIMA NGUO & VIATU Hivi dunia la leo...
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Natamani kujua, Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara, Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali.. Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Habari ndio kama mlivyosikia .
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

    Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!! Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kumbe kwenye misiba kuna uzinzi namna hii?

    Nisiongee sana Inabidi tuwe makini kwenye hii misiba yetu hasa usiku, tukae karibu na wafiwa.
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hii ni hatari kwelikweli!

    Imani moja inasisistiza usafi na utakatifu ni kuacha dhambi na kujitenga na maovu! Imani nyingine inasisitiza katika ushoga na usagati kuwa ni vitendo vitakatifu! Imani nyingine inasisitiza katika ugaidi na mauaji kuwa sifa ya kuingia peponi na kupewa mabikra 72. Hatari na nusu!
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

    Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa. Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana. Hakuna papatu papatu. Mpira...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ladha ya bia inategemeana na mhudumu

    Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila --- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapongeza wamiliki wa baa na kumbi za starehe kwani uwekezaji wao umetoa ajira kwa watu wengi, na kwamba wakati mwingine ladha ya bia inategemeana na mhudumu.
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hawa wake za viongozi waliotoa msaada Hanang ni taasisi? Imesajiliwa lini na chanzo chake cha mapato ni kipi?

    Kwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina. Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo...
Back
Top Bottom