Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,880
4,883
Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara.

Mpaka nikajiuliza hivi manispaa hii ina viongozi kweli? Nimepita barabara za Msumi, Makabe zina hali mbaya. Sasa hyo ya Goba mpakani ukiipita mpaka nikajiuliza watu wenye gari zao huwa wanaenda gerej mara ngapi. Maana barabara ni mbovu mno.

Uliingia hukp ndani ndani kwembe huko, bonyokwa huko, Goba huko hali ni mbaya.

Nauliza tena kuna Manispaa/ Halmashauri yenye barabara mbovu kama Ubungo? Kama ipo itaje hapa
 
Kaa kimya mzee hii nchi huijui kabisaaa
Yaani barabara za Manispaa ya ubungo unataka kulinganissha na wilaya kama Kilindi? Unaifahamu Kilindi wewe??
Au Kiteto umewahi kufika Kiteto??
HIzo ni chache kwa kuataja ila kuna maeneo yana mifumo mibaya sana ya barabara kuliko unavyodhani
 
Kuna siku nka pata issue somewhere makoka mwisho ndo nka jua kumbe na Dar kuna milima.barabara mbovu
 
Kaa kimya mzee hii nchi huijui kabisaaa
Yaani barabara za Manispaa ya ubungo unataka kulinganissha na wilaya kama Kilindi? Unaifahamu Kilindi wewe??
Au Kiteto umewahi kufika Kiteto??
HIzo ni chache kwa kuataja ila kuna maeneo yana mifumo mibaya sana ya barabara kuliko unavyodhani
Kabisa mikoani huko barabara nyingi bado sio nzuri
 
Ungesema darisalama hii na sio kulinganisha nchi nzima.
hio manispaa ndio inaongoza kwa ujuaji na upigaji miaka yote ata mm niko kwetu meru nathikia abari za manispaa ya kino ambayo ndo imegawanya na kutoa manispaa ya ubungo
 
Back
Top Bottom