Kumbe hii ndo sababu ya yeye kukataa kunitunuku mbususu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Kipindi cha nyuma niliwahi kuleta uzi kuwa nimekuwa introvert sana kiasi kwamba sina mazoea na jirani yeyote yule mtaani, hata kwa salamu tu, wanaJF mkanilipukia na kunishushia matusi ya kila rangi huku wengine mkijaribu kunibebesha mzigo wa kiburi. Nikaamua kuforce kubadilika ili nijichanganye na watu japo kiugumu.

Baada ya hapo nilileta uzi mwingine kuwa nina mpenzi ambaye tunapendana sana japokuwa hataki kunitunuku mbususu, nilivumilia mabezo ya kila rangi mliyonipatia huku nikijaribu kutafuta ufumbuzi

Inavyosemekana, majirani wa kike wote wanaonizunguka, haijalishi ni vibinti vya shule, wasichana wa kawaida ama wake za watu, wote nimekwisha watafuna mbususu, na isitoshe, leo ndo nimegundua kuna mume wa mtu ananiwinda japo bado yuko katika utafiti.

Kinachonisikitisha kuna kibinti chembamba ambacho majirani wanadai kinafanya kazi Grade ya Taifa, nacho nimezushiwa nimekwisha lala nacho. Ukisikiliza masimulizi niliyopewa dhidi yao, kwa kuunganisha matukio unaweza ona kama yanakwenda sawia kwa namna ambavyo yametengenezwa

Kinachonisikitisha zaidi, hata huyu binti, Aisha, aliyenipa mkasa wote kunihusu, naye nimewahi kusikia kwa rafiki yake akiniambia kuwa tayari nimekwisha mtafuna mbususu sema tu ni kwa vile navunga kukataa mpaka nashindwa kuelewa which is which

Kuna baadhi ya waume kwa sasa hata salamu yangu hawaitikii, na kinachonishangaza sana, wengine wameacha kutembeza mikwaju kwa wake zao kwa kuhofia chain ya yule mdada mwembamba

Na hii ndo sababu inayomfanya huyu binti ashindwe kunipatia mbususu, japo kwa taarifa za awali zinasema kuwa fulani na fulani wamemtafuna sana, na mimi pia ninasemekana nimemtafuna vya kutosha jambo ambalo halina ukweli

Hivyo basi, naiomba serikali ya CCM inisaidie kutatua tatizo hili
 
Hama huo mtaa unanuka ngono na umalaya wa kutisha. Maskini mnawaza ngono tu kmmmmk
 
Hama huo mtaa unanuka ngono na umalaya wa kutisha. Maskini mnawaza ngono tu kmmmmk
Na ndio maana baada ya kuhamia huu mtaa, sikuwa na mazoea mazoea ya ajabu nikaonekana mchawi. Nilipowapatia nafasi ya kuonesha ucheshi, nikageuzwa kibwengo

__________________
Ngono ni maalumu kwa ajili ya maskini, maake hatuna kingine cha kujivunia ama kutupatia burudiko kama kuzagamuana. Nyie matajiri endeleeni kula vyombo hapo Kitambaa Cheupe
 
Back
Top Bottom