Kwa aina hii ya uwekezaji kamwe Afrika haitasonga mbele

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,255
22,321
Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu.

Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na mambo mengine yanayoleta thamani kwenye maisha. Makanisa na misikiti tayari iko mingi sana na inatosha. Nigeria ni mfano mmojawapo wa nchi zinazokosa vipaumbele vya taifa. Ni nchi tajiri yenye hazina kubwa ya mafuta ila watu wake ni maskini kupindukia.
FB_IMG_1705221661787.jpg
FB_IMG_1705221657778.jpg
FB_IMG_1705221654928.jpg
 
Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu.

Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na mambo mengine yanayoleta thamani kwenye maisha. Makanisa na misikiti tayari iko mingi sana na inatosha. Nigeria ni mfano mmojawapo wa nchi zinazokosa vipaumbele vya taifa. Ni nchi tajiri yenye hazina kubwa ya mafuta ila watu wake ni maskini kupindukia.
Jengo limejengwa kama Boeing au bombardier naona
Inaelekea huyo anakuja kuchukua nafasi ya TB TP JOSHUA

OVA
 
Imani ina nguvu sana ndani ya mioyo ya watu,, ni ngumu sana kuwatoa huko watu waliowaamini mitume na manabii
 
Subiri dude la Ngome ya Yesu Kimara Temboni.Dini ni udumavu wa akili Hapo sio Imani ni ujinga.Imani utamwabudu Mungu ata chini ya Mpapai na majibu utayapata Hapo Hapo.
 
Back
Top Bottom