Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
16,490
41,655
Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika.

Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini zake, wengi huwa tunaamua kuchukua hamsini zetu, na kujitoa kwenye mahusiano. Na hii inatokana na maumivu tunayokuwa tumesababishiwa.

Sometime unaweza ukawa Bado unampenda mwenzi wako, ila ukubwa wa tukio alilokupiga unakufanya ufumbe macho, then umpotezee.

Baada ya heartbreak, wapo wanaojipa muda kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine, lakini pia wapo ambao maumivu yanawazidia, hivyo wanajikuta wanaingia kwenye mahusiano mapya ili kupata faraja. In either case, upweke huwa unawapush kuingia kwenye hayo mahusiano huku wakiwa wamejeruhiwa.

Watu kama hawa, kwenye mahusiano yao mapya inapotokea quarrel hata iwe kidogo, huwa zinakawaida ya kuwakumbusha mambo mawili matatu ya kwenye past relationships.

Au wanaweza kutafsiri kama mwanzo wa dalili mbaya. Na sometimes huwa inapelekea wanakumbuka au kuyamiss sana mahusiano yao yaliyopita, ila kile chanzo cha ugomvi wao au Yale maumivu waliyopitiia ndio huwa kikwazo.

Sasa kwenye mahusiano mapya panapokuwa na series ya ugomvi au sintofahamu yoyote, hii huweza kusababisha mawazo ya Penzi la zamani kuja.

Maana kule atakumbuka kabla ya ugomvi uliopelekea kuachana, alikuwa anatreat-iwa vizuri, au huyu mpenzi mpya ataanza kumkumbuka ex wake kuwa hakuwa na visirani au hasira hasira, hivyo atajikuta anarudisha mawasiliano nae taratibu. Ukija kushtuka, mpenzi wao karudiana na ex wake, alaf wanaanza kukusema 😅😅.

Enzi za wazazi wetu walikuwa wanahusudu sana binti aolewe akiwa na bikra yake, au kijana aoe binti mwenye bikra, na hii sio kwasababu walitaka kijana afungue njia wa Kwanza, no, lengo ilikuwa ni kijana afungue moyo wa binti akiwa wa kwanza.

Kuna kampeni kipindi cha nyuma ilikuwa inaendeshwa humu JF, kwamba kama sio bikra usioe, coordinators wa hii kampeni walikuwa wanadhani binti ukimtoa bikra, basi hawezi kukusaliti, huo ni uongo, wapo wengi waliotolewa bikra na bado waliweza kusaliti. Ila advantage ya mwanamke uliyemtoa bikra, moyo wake unakuwa hauna majeraha ya mapenzi, hauna vinyongo wala visasi.

Hata hao wazee wetu enzi hizo walikuwa wanaoa bikra, na Bado walikuwa wanachapiwa kama kawaida. Hata hii misemo yao kuwa kitanda hakizai haramu, unaweza kukuta ilianzishwa baada ya Mzee fulani mkewe kuwekwa mimba na mtu mwingine.

Wanaume tunakawaida ya kujiona mwamba tunapotoa bikra. Tunajisifu tumefungua mlango, tumepata tight pussy n.k, wakati hiyo hiyo inaweza kutanuka na kupitisha kichwa cha mtoto, ambacho upana wake hata Tukisema tuunganishe dushe 3 kwa pamoja bado hatuufikii. Kwanza hiyo bikra yenyewe mpaka ufanikiwe kuitoa, mateso kibao, kuna tuliong'atwa, kuna waliokabwa, wengine walipigwa makofi, ngumi n.k.

Ni nadra sana kukuta mwanamke alifurahia/Pata raha siku aliyotolewa bikra, au mwanamme alipata raha siku alipokuwa anatoa bikra. Ila enzi hizo, wazazi walifurahia, maana walikuwa wanatizama mbali.

Siku hizi tunatoa bikra, then tunatambaa, bila kujua thamani ya tunachokiacha.

Mahusiano ni kamali sana, maana unamkubalia/unamtongoza mtu ambae hujui alipotoka moyo wake umekumbwa na nini. Na hata mnapojaribu kuulizana mwanzoni, kuna mmoja kumbukumbu zikimjia, anashindwa kuelezea yaliyomkutaga, so unaamua kufunika. Unajikuta umekumbatia bomu bila kujua.

Hata hii kampeni ya sasa ya kataa ndoa, ndoa ni utapeli, chimbuko lake ni usaliti, vinyongo na visasi ambavyo wamekutana navyo wanaoiendesha hii kampeni. Na kuna walioidandia tu kutokana na sababu wanazozijua wao, ila siku wakikutana na watu sahihi, soon nao wataipotezea, tena watacheza kama vichaa kwenye harusi zao 😅

Kwenye mahusiano mapya mkikutana wote ambao mlipigwa matukio, na mna nia ya dhati ya kusonga mbele, basi hapawezi kuwa na cha kuwazuia.

Au mmoja ikiwa alijeruhiwa sana, alafu akakutana na mtu ambae moyo wake hauna vipengele, na amemuelewa kwa dhati, basi huwezekano wa kumove on ni mkubwa sana, maana wanachohitaji waliopitia heartbreak, ni faraja na upendo.

Inapotokea leo hii mnapitia kwenye ugomvi mkubwa sana na mwenzi wako, angalieni ni namna gani Bora mnaweza kuvuka hiyo situation. Kuliko mkimbilie kufanya maamuzi ambayo yatakuja kuwawinda huko muendako.

Simaanishi, lazima msameheane, ila ninachojaribu kusema ni kwamba there will be consequences katika kila mtakachoamua. Na hizo consequences zinaweza kuwagusa na wengine.

Na unapoamua kumove on, hakikisha hauna kinyongo, kawaida ya kinyongo humuumiza anayekihifadhi. Kitakufanya ushindwe kufurahia maisha yako mapya.

Wasalaam.

Analyse
 

Attachments

  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    24.8 KB · Views: 53
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    19 KB · Views: 52
Sleeping with many partners changes the brain circuitry, compromising the ability to bond with someone else!!

This is for both sexes!

A virgin woman deserves a virgin man who is still capable of forming a great bond with her,

and not have a man who just sees her as a trophy while hes out to quench his insatiable desires at the expense of his inexperienced wife!!
 
.

Hata hii kampeni ya sasa ya kataa ndoa, ndoa ni utapeli, chimbuko lake ni usaliti, vinyongo na visasi ambavyo wamekutana navyo wanaoiendesha hii kampeni. Na kuna walioidandia tu kutokana na sababu wanazozijua wao, ila siku wakikutana na watu sahihi, soon nao wataipotezea, tena watacheza kama vichaa kwenye harusi zao 😅
Pia naomba tu acknowledge uwepo wa some mental cases (narcissists, sociopaths, psychopaths etc),

watu ambao saikolojia yao imeharibiwa katika kile kipindi cha ukuaji either kupitia abuse or neglect,

and they're just damaged kusema kiufupi.


They'll never be able to have a healthy relationship with other people,
they have no empathy,

ukiona mtu kadumu naye ujue ni mtu kajitoa mhanga, a self sacrificing love,


she/he atapata vipindi vifupi sana vya kufurahia na huyo mtu but mostly itakuwa ni mateso ya kisaikolojia, kihisia na hata kimwili
 
Pia naomba tu acknowledge uwepo wa some mental cases, watu ambao saikolojia yao imeharibiwa katika kile kipindi cha ukuaji either kupitia abuse or neglect, and they're just damaged kusema kiufupi.
They'll never be able to have a healthy relationship with other people,
ukiona mtu kadumu naye ujue ni mtu kajitoa mganga, a self sacrificing love,

she/he atapata vipindi vifupi sana vya furahia na huyo mtu but mostly itakuwa ni mateso ya kisaikolojia, kihisia na hata kimwili
Mfano mzuri ni huyu muasisi wa hiyo movement

 
Sleeping with many partners changes the brain circuitry, compromising the ability to bond with someone else!!

This is for both sexes!

A virgin woman deserves a virgin man who is still capable of forming a great bond with her and not have a man who just sees her as a trophy while hes out to quench his insatiable desires at the expense of his inexperienced wife!!
🤔
 
''Ila hawa jamaa wa Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli'' wakihamia kwenye social medias zingine na mtaani wataharibu mindset ya vijana wengi ambao bado hawajaoa.

Mtu unaweza kuona Ndoa ni tatizo kwako lakini kwa wenzio ni Faraja kuu.
Kwa kweli wabaki humu humuu...hiyo movement ikihamiaa social media nyingine..Ni majangaa aisee
 
Bikra hua na raha yake km ukienda kwa protocol...!!wengi huenda kwa pupa...!!unamuondoa mtu hofu kidogo kidogo...inabd kama una time utumie hata wiki...!!mimi nlkuwa sijui ila kiukweli yule girl mpk leo anatuma zawad...!!
 
''Ila hawa jamaa wa Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli'' wakihamia kwenye social medias zingine na mtaani wataharibu mindset ya vijana wengi ambao bado hawajaoa.

Mtu unaweza kuona Ndoa ni tatizo kwako lakini kwa wenzio ni Faraja kuu.
Hao wengi wao ni watoto wa makahaba
 
Back
Top Bottom