Nimetafakari Sana!! Nataka hii iwe kama nadhiri kwangu

Wakuu nimetoka kutakari juu ya maisha ya kuoa nimeona bora jitihada zangu nielekeze kwenye kuwatumikia watu pamoja na kutoa huduma kuliko kuoa.. Ushauri kwa wale walio matowashi humu ndani nipeni changamoto zenu na mlianzaje Asanteni!
Kuolewa mke wa kanisani ni balaa zito. Yaliyonikuta anayajua Mshana Jr peke yake.
Ila simu In courage mtu wala sim discourage
 
Mungu akusaidie sana.
Mwanzo 1:28 BHN

Mungu akawabariki na kuwaambia,
"Zaeni muongezeke,mkaijaze nchi na kuimiliki,muwatawale Samaki wa baharini,ndege wa angani na kila kiumbe hai kitembeacho Duniani"

Swali,Sasa huyo mleta mada unataka asaidiwe na Mungu yupi na asaidiwe kitu gani? ikiwa anaenda kinyume na maagizo ya Mungu? akizaa nje ya ndoa hiyo inakua amefanya zinaa kitu ambacho Mungu hakipendi,

Nasubiri jibu toka kwako nielimike.
 
Mt 19:12
Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
 
Back
Top Bottom