hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Wydad wakubali kuanza upya kuijenga timu yao, kwa timu hii waliyonayo na uchezaji wao kazi wanayo!

    Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza. Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu! Simba msijisifu kumfunga wydad...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

    Roman Catholic imekua comedy sasa. Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka. Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba...
  3. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

    Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake. "The lord can't forget his people." Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL: 1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili. 2. TAL...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Immigration JNIA (Dar) Epukeni aibu hii

    1. Arrival lounge inajaa kupitiliza, 2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi, 3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege. 4. Air Conditioner hazifanyi kazi. 6. Vyoo navyo mtihani.
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Biashara hii imefika mbali?

    Unabomoa vibanda wanahamia mtandaoni. Ni kuachana nao, hawawezekaniki.
  7. Mtumbatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

    Kisha tuiachie X iweke tafsiri, kuliko kutumia lugha ya malkia halafu tunaonekana wa hovyo tu.
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  9. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
  10. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
  11. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Je Biashara Yako Ilifikia Malengo 2023? Jipime kwa hii Sheet BURE

    Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi). Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online)...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimeingia Uswahlini

  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii style mpya ya kunyoa ya Ruto imekaaje?

    Mzuka wanajamvi. Itakuwa Raila anamroga jinsi alivyomroga Uhuru. Hii haircut hapana asee.
  14. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania TARURA hii imekula kwenu, kuendekeza ujenzi usiozingatia viwango

    TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita. TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini. Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
  15. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Hii Ndo sababu Ziwa Natron lilioko Kaskazini mwa Tanzania kuonekana na "Rangi na Rangi ya Damu" (Nyekundu) Badala ya kuwa na maji meupe au blue

    Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ewe mwenyezi Mungu hii mvua sasa imetuchosha.

    Mungu sikia kilio chetu hii mvua sasa imezidi tunaomba uiondoe KWA amri nguvu na uwezo wako. Amen
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Propaganda iliyoanzishwa ya kuchafua wanaume wenye maumbile madogo inatafuna sana vijana kisaikolojia, vijana wengi wahusika wanakosa confidence

    Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo hata akiwa na size ndogo anaweza kuwa player hatari sana bila aibu yoyote, Ghafla likazuka hili...
  18. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

    Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu. Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara. Kiukweli haivutii kutazama. Ni kama...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea nini?

    Hii picha inaongea mambo mengi sana. Wazungu wanasema a picture speaks louder than words. Nikiiona hii picha nahudhunika mno, hasa kwa ajili ya vijana wa kitanzania wanaohitimu vyuoni makumi kwa maelfu kila mwaka. Maisha ya kiafrika ni magumu sana. Unaweza ukute hata elimu yenyewe aliyoipata...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

    Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
Back
Top Bottom