Ipi ni RAM sahihi kwa hii PC

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Habari
Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati ya hizo mbili kaniambia PC3L ni latest inaweza isisome kwenye PC za zamani na PC3 ni ya kitambo inaweza isisome kwenye nija za PC3L laptop yangu ni Dell latitude E5530 mpaka nimeamua kurudi nyumbani bila kununua hiyo ram nikaifungua PC ili kuikagua ina ipi kati ya hizo nikakuta ina ram mbili tofauti moja ya 2GB ina PC3 na nyingine ni 4GB ina PC3L jumla ni 6GB sasa hapo sijui ipi nia nzuri na bora kuliko nyingine msaada wa kitaalamu tafadhali nichukue ipi
 
Yenye L inamaanisha low power, yenye L voltage 1.35 na isio na L ni 1.5V sema yenye L inakubali kote kote na isio na L haikubali kwenye L

Vyema ram umechishe mkuu, sababu ram zinafanya kazi pamoja zina tabia ram yenye speed Kupunguza speed yake ili iendane na isio na speed. So hapo unaweza toa isio na L ukaweka yenye L mwenzake, pia Speed ikifanana itakua vyema japo kwenye ddr3 hili si muhimu sana.
 
Asante mkuu kwahio zote zina speed sawa au hiyo yenye low power ni dhaifu kuliko hiyo isiokua na L
 
Hapo mkuu chukua hiyo yenye 3L ni nzuri sana kwa sababu imetegenezwa Ku- perform kwenye kila aina ya PC zinazo tumia DDR3. Zote

Vile vile inakuwa na speed kubwa kuliko hiyo ya PC3
 
Back
Top Bottom