hela

  1. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Ukimfanyia hivi mwanamke mpenda hela wallah hatakusahau

    Katika mizunguko yako ikiwa umeonana na mwanamke nawe ukajiongeza juu yake. Mwanamke naye akaamua kujiongeza juu yako kwa kukufanya ATM machine huku akikizuga kwa vimeseji vya I love you na wakati mwingine hata kukutumia picha zake za ndani ilimradi tu ukamilishe muamala. Huyo demu muhuni...
  2. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Kuombwa Hela Kijijini

    Mimi ni mchaga kutokea Mkuu Rombo, ila pia ni mkazi wa Dar es Salaam japo sipendi kuitwa mwanaume wa Dar. Kuna jambo moja linanikera sana kwa kweli kila nikienda nyumbani Kilimanjaro nikikutana na wakazi wengi amabao ni ndugu au wachaga tu huwa wana tabia ya kuomba hela sana. Ukikutana na mtu...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  4. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Watu wana hela sana!!!

    Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! :D Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

    Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu! == Mgombea Ubunge Buyungu 2018 Diwani wa Kata...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PSSSF acheni uhuni na utapeli, kama hela za pensheni hamna semeni

    Acheni kuwasumbua wazee wa watu. Leo masikini wazee wanakwenda kutafuta hela zao bank wanaambiwa hakuna hela kwa vile hamjahakikiwa. Hamjawahi kutoa notice ya uhakiki kwa mwezi wa January, 2020, mnategemea mtu atapataje taarifa. Acheni uhuni na utapeli, kama mmeishiwa hela waambie wastaafu wajue...
  7. simba wa dodoma

    JamiiForums Tanzania Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

    Mambo vipi wadau, Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeane basi code nasi tufanye hizo harakati tutoboe wote maisha kiukweli hela ya kutegemea mshahara ni mateso...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wasichana kusingizia mama zao wanaumwa ili wapewe hela na wapenzi wao itaisha lini?

    Halo JF. Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela. Wanadai wananaombwa kuanzia shilling 30,000 hadi laki Tano kulingana na hadhi ya mwanaume. Wanazingizia vipimo au kununua Dawa. Wanadai ktk...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya Mbinu za Kupiga hela na kujenga uchumi

    Katika ulimwengu wa biashara kuna fursa nyingi ambazo mtu aweza kuzitumia ili kupiga hatua maishani.Baadhi ya mbinu hizo ni pamoja na hizi hapa chini: Kuwa reseller wa huduma au bidhaa.Katika eneo hilo unaweza kununua bidha kwa bei ya jumla na kuuza kwa bei ya rejareja kulingana na mtaji.Ila...
  10. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Nina wazo, Serikali ichukuwe hiyo hela kutoka kwa Watalii!

    Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500. Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga wa Kienyeji afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama ya Wilaya Kigoma Mkoa wa Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venas Edward (48), mkazi wa Ujiji Manispaa ya Kigoma/Ujiji kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wellu Sengo: Wanawake wanaopenda wanaume kisa hela wanakosea

    Malkia wa kiwanda Cha bongo movie kwa jina lingine anaitwa "maltida" ambaye pia yupo kwenye tamthiliya ya "Rebecca" inayooneshwa na DSTV amefunguka wakati anafanyiwa mahojiano na millardayo nakusema wanawake wenzake wanaopenda wanaume kwa kuangalia kigezo Cha pesa hawana tofauti na Malaya cos...
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wanaokopesha hela za moto siku hizi mko wapi?

    Hapo nyuma kulikuwepo wimbi la watu wanakopesha hela kwa riba kubwa hadi 30% kwa mwezi. Pamoja na kwamba riba ilikuwa juu lakini mtu ulikuwa unapata pesa faster unatatulia shida yako maisha yanaendelea. Sasa siku hizi, hizi njemba sizioni kitaa zimepotelea wapi?
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania NHIF mnapokeaje hela za vyuoni wanafunzi hata picha hawajapiga na wala kadi hawana?

    Kuna watu wanataka kurudisha nyuma maendeleo ya Mh. Magufuli na kwa hili lazima tuwakatae mapema. Baadhi ya vyuo wanafunzi wamelipa hela za NHIF kama bima na mpaka sasa hawajapiga picha wala kupewa kadi za bima wengine inakaribia mwezi wa tano sasa - Ustawi wa Jamii - Mwalimu Nyerere Nani...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

    Ukimtokea mdada wa Kigoma kwamba umempenda na unataka kumuoa basi ataifanya habari hiyo kuwa siri, kwasababu anaogopa kuhujumiwa. Uhaba huu wa wanaume Kigoma umesababishwa na nini? Kuna nadharia mbili zinatoa majibu ya swali hili:- 1. Watu wa Kigoma wana asili ya utafutaji sana. Hivyo vijana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Benki ya Dunia kuacha kuipa mkopo China, adai ina hela nyingi na kama haina inazitengeneza

    Rais wa Marekani Bwana Trump ameitaka Benki ya Dunia kusitisha kuipa mikopo China kwa sababu China ina pesa nyingi ambazo inakopesha nchi nyingine, iweje China anakopesha wengine kupitia mradi wake wa Road lnitiative halafu iseme haina hela iende kukopa Benki ya Dunia?
  18. Maleven

    JamiiForums Tanzania Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

    Naandika haya atleast kupunguza majonzi nilionayo moyoni. Mimi ni kijana kutoka familia masikini sana, nimebahatika kupata kazi, nitazungumzia mshahara wa october. Baada ya kupokea 280,000 kama mshahara wangu, nililipa elfu 60 deni lililokopa katikati ya mwezi, kisha nikamtumia mama elfu 10...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kutana na hela za Manyoka, ipo siku kizazi cha ku-plan kitazaliwa. Huwa hakiangaiki

    #tag Kampuni Tamu itakayowafanya watu waelekeee kwenye maisha wanayoyataka Kwa kuondoa (matumizi yasiyo ya lazima katika JAMII.. by Mbeki) #tag mfano watu wanataka Wakala wa shopping mall dharau naleta Wakala wa fremu lakini IPO siku nataka Wakala wa Shopping Malls #tag Sitaki wezi lakini...
Back
Top Bottom