Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,567
50,393
Ukimtokea mdada wa Kigoma kwamba umempenda na unataka kumuoa basi ataifanya habari hiyo kuwa siri, kwasababu anaogopa kuhujumiwa.

Uhaba huu wa wanaume Kigoma umesababishwa na nini?

Kuna nadharia mbili zinatoa majibu ya swali hili:-

1. Watu wa Kigoma wana asili ya utafutaji sana. Hivyo vijana wa kiume wakimaliza darasa la 7 tu huondoka kwenda mikoa mingine kutafuta maisha. Wengi wako Tabora kwenye mashamba ya tumbaku, wengi wako mijini kama machinga, mashamba boys, house boys, wauza matunda, wauza mkaa, bodaboda, wauza maji, waimba singeli, bongo fleva, n.k.

Fuatilia utagundua kwamba vijana wengi wanaofanya shughuli hizi wanatoka Kigoma.

2. Yasemekana wakimbizi wengi toka Rwanda na Burundi ni wanawake, maana waume zao ama huuawa katika vita au hubakia kushiriki katika vita. Hivyo idadi ya wanawake huongezeka zaidi mkoani Kigoma.

Ushauri wangu:

Wanaume wote mnaotaka kuoa nendeni Kigoma. Kuna watoto wa kike wazuri, natural, wavumilivu sana na wana adabu zote. Na hawana urasimu kabisa. Unaweza kufika leo, kesho yake ukaondoka na wanawake 3 wazuri tena maziwa saa 6.

Tatizo la watu wa Kigoma.

Ukioa ama kuolewa na mtu wa Kigoma jiandaye kuishi na kijiji kizima nyumbani kwako. Unakumbuka sakata la yule msanii mkubwa na mkewe?
 
Sidhani kama kuna upungufu wa Wanaume, bali Wanaume wenye uwezo wa kuoa na kuanzisha mji na familia ndo wachache, lakini Wanaume ni wengi sana tu wa kutosha kwani Kigoma hakuna Vita au ugonjwa maalumu unaoshambulia Wanaume tu.
 
Back
Top Bottom