Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Hapo nyuma kulikuwepo wimbi la watu wanakopesha hela kwa riba kubwa hadi 30% kwa mwezi. Pamoja na kwamba riba ilikuwa juu lakini mtu ulikuwa unapata pesa faster unatatulia shida yako maisha yanaendelea. Sasa siku hizi, hizi njemba sizioni kitaa zimepotelea wapi?