Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Halo JF.
Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela.
Wanadai wananaombwa kuanzia shilling 30,000 hadi laki Tano kulingana na hadhi ya mwanaume. Wanazingizia vipimo au kununua Dawa. Wanadai ktk tafiti wamegundua wakinamama hao huwa sio wagonjwa.
Ndiyo maana Mimi nauliza hii tabia wasichana mtaacha lini?