Nina wazo, Serikali ichukuwe hiyo hela kutoka kwa Watalii!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500.

Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country siyo ishu mfano viza badala ya Dola 50 ikawa 70, ...
 
Back
Top Bottom