Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini...
Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata.
Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine bali ni "HESABU", yawezekana ni wengi tu tunazijua hesabu lakini hapa ni kuhusu kuzitumia...
Swali kwa wana Simba na wengineo:
Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.
Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini?
Naona kama mo ananyonywa vile...
Nimeamka asubuhi tu nakutana na sms yao ati nitumie hela kwenye namba hii..! Haya majamaa sijui huwa yanafikiria hela ni kama pua tu kila mtu anayo!!.. wangejua hii weekend imekaa kikomamanga hata wasingetuma li sms lao..!
Mtu huna hata ya kununulia soda ya jero licha ya soda tusiende mbali hata...
Ni katika muendelezo wa mjadala, ndugu Justine Kakoko, alisema wasio na hela watakuwa atika hali mbaya ya kuweza kuongea.
Hapa alizingatia kuwa maudhui ni picha, mawazo, maoni, elimu na chochote ambacho mtu ataweka mtandaoni, Kifupi ni kuwa ili uongee kwa uhuru ni lazima uwe na leseni kwa hiyo...
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa
Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu
Rushwa imekuwa ikisababisha...
Masikio yameumbiwa kusikia, moyo kutafakari na kuamua, akili kung'amua na kutambua lipi baya na lipi zuri, nafsi ndiyo wewe na mimi, ila Roho ndiyo uhai sasa, vinne hivi vipo ndani yetu, yaani kwenye miili yetu na ndiyo mimi na wewe sasa.
Wanawake wa leo ujuaji umewaponza sana na mbeleni mwao...
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.
Piga mateke ngumi...
Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara, uko zako gheto, anakuomba muongee dili halafu anakupa ofa ya tsh laki 3, laki 5 au laki 2 kwenye dili...
Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi.
Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
Habari wana jamvi? 😁😁😁🤪🤪🤪😏😏
Nacheka kwa dharau sana hasa waliokurupuka kuchukua form na kuangukia pua kama paskal Mayala,Stive Nyerere,Gwajma n.k
Kwanini nawacheka? Ukiangalia wengi wamekurupuka kisa JPM anadaiwa kurudisha heshima chamani na ni mchapa kazi sana. Kutokana na wapinzani wengi...
Habari wadau,
Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club.
Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini.
Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa...
Wakati wa mkapa ilipigwa hela ya epa tukapiga kelele wee tukaambiwa hakuna wizi ushaidi ulipoletwa ukazimwa kisiasa ikapita. Mweshimiwa mkapa kaja kukiri juzi hapa kwamba kweli hela iliibiwa na ilitumika kwenye uchagizi 2005.
Awmu ya nne ya mweshimiwa Jk ilipigwa hela ya escrow. Tulipga kele...
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.
Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.
Chama...
Bank ya CRDB inaweza kukulaza njaa huku una hela, jirekebisheni. Huduma zetu zimeisha kuwa za mazoea kutokana na mfumo wa maisha ya watanzania.
Kwamba hata mkizingua wanavumilia, ila watu wanapungua kidogo kidogo.. mnafanya kazi kwa mazoa sana.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametaka busara itumike kati ya wazazi na bodi za shule kuhusu suala la ulipaji wa ada na malimbikizo ya ada za muhula uliopita kwani janga la Corona limeathiri watu wengi
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Leo nimememsikia Raisi Magufuli akisema kwamba tunajenga SGR kwa pesa zetu 100%
Lakini wakati huo huo wote tunakumbuka kwamba mwaka huu Waziri wa fedha Dr. Mpango alitia sahihi na wakopeshaji 17 walioratibiwa na benki ya Standard Chartered Bank kutoa mkopo wa Trilioni 3.3 kwa ajili ya ujenzi wa...
Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri,
Okey twende kwenye Mada kidogo
Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani ila sasa shida inakuja hapa.
Mfano mtu anakwambia Dollar $2 hapo sijui kwa hela yetu ya Tanzanian...
Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.