habari

  1. Roving Journalist

    GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  2. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  3. B

    Waandishi wa habari wanafanya kazi kwa uhuru Tanzania

    Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi. Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
  4. J

    Waandishi wa habari wa Zanzibar wako vizuri kuliko wa Bara kwenye mambo ya uchaguzi.

    Niwapongeze waandishi wa habari wa Zanzibar kwa namna wanavyofuatilia na kuripoti habari za uchaguzi. Mungu awabariki Maendeleo hayana vyama!
  5. G Sam

    Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari muda mfupi ujao

    Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni. ----- Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari Chief, habari za muda huu? Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  6. M

    Utambulisho

    Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
  7. Erythrocyte

    Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio === Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
  8. D

    GE2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

    Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye. Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye...
  9. R

    Habari wana JF

    Nilikuwa naulizia kuwa hivi inawezekana kupata online copy ya result slip pamoja leaving certificate ya form four?
  10. assadsyria3

    GE2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

    Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea. Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
  11. U

    Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo Jumapili Kuanzia Saa 8 Mchana

    Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako Tuna Jambo Letu Leo Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
  12. T

    Vyombo vya habari kwa wakati huu viko na nguvu ndogo sana.

    vyombo vya habari hapa Tz havinà nguvu kabisa ,sasa hivi mitandao ya kijamii ndo kila kitu. Mgombea anayekubarika mitandaoni basi ndo anayependwa huu ndo ukweli. Watu radio na Magazeti awayasikilizi sana, labda wazee wamakamo tu tuweni wakweli tu. Hii hoja ya Rais wa mitandao , basi tuseme...
  13. Q

    GE2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

    "Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu #“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
  14. CUF Habari

    GE2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
  15. K

    AZAM TV mjitathimini kwa upendeleo wa wazi wa kubagua katika kuonesha habari za Kampeni za Wagombea Urais

    Hawa jamaa nimejaribu kuwafuatilia saana tokea kampeni za Urais zianze wamekuwa wakitoa upendeleo wa wazi kwa mgombea wa chama tawala kwa kupamba mno taarifa zake huku wakikatakata habari za wagombea wa upinzani hasa za mpizani number moja wa Jiwe (Tundu Lissu) . Na pale siku Jiwe anapokuwa...
  16. G Sam

    GE2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

    Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala ==== Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama. Kwenye gari...
  17. YEHODAYA

    GE2020 Kitengo cha habari cha CHADEMA wanyoosha mikono juu, waeleza tu mafuriko ya wanampokea Lissu si alichosema sababu hakipo

    Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu...
  18. kavulata

    Kwanini adhabu kwa vyombo vya habari iwe kufungiwa badala ya kulipa faini?

    Kuna usummbufu mkubwa na hasara kubwa sana kwa vyombo vya habari na hata kwa Kodi ya serikali Kama chombo Cha habari (redio, tv, gazeti) kitafungiwa japo kwa wiki moja tu. Kwanini makosa yanayosababisha kituo kufungiwa kwa wiki moja isiwe kulipa hela badala ya kukifungia?. Kufungia chombo...
  19. matunduizi

    GE2020 Magazeti yanatumia hekima gani kuandika Habari katika kipindi hiki cha Uchaguzi?

    Nimepita juzi kwenye Meza ya magazeti nikastaajabu kidogo. Habari kuu za magazeti yote ni za Mgombea wa CCM. Rangi ya kijani imetapakaa Meza nzima yani kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni Meza ya muuza mbogamboga. Nikajiuliza mbona twitter na JF Mpambano ni kama umebalance hivi japo...
Back
Top Bottom