Habari wanajamvi,
Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili.
Je, washibiki...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi bilioni 7.5, kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda wa mkataba...
Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021.
Marehemu tayari alikua amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu ambapo baada ya kutoka Jkt alikwenda kukaa kwa Kaka yake Pugu,Dar es salaam.
Huko ndiko...
Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021.
Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC.
Bwana ametoa, bwana ametwaa
--
Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Jamaa yangu wa kazini leo kaja home kunichukua twende meneo ya uswahilini anakoishi. Anaishi Kijitonyama. Ni maeneo yenye msongamano sana kwa kweli sijui tu why serikali isingebomoa Sinza,Kijitonyama n.k halafu zikajengwa nyumba nzuri za kisasa.
Jamaa anatumia Toyota Prado.akasema niende naye...
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na...
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
Salaam Wakuu,
TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube.
Tukio lhili imeambatana na...
Wiki hii, Mwandishi mmoja kutoka Chombo kimoja cha Habari maarufu katika nchi za Afrika Mashariki alimhoji Askofu Mwamakula kuhusiana na "Matembezi ya Hiyari"! Ufuatao ni muhutasari (paraphrased) wa mahojiano hayo!
Simu: Tilililili! Talalilalila! Tololololo!
Askofu Mwamakula: Halo! Ninaongea...
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali.
Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert...
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?
Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.
Hii itatufanya hata...
Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika moja haishi, kwa sababu hiyo nawaomba iwazuie clouds kuizungumzia kama ilivyokuwa radio one miaka...
Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (2016), itakayoanza kutumika Januari mwakani.
Wakati akizingumza na na...
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu.
Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi.
Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.