Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
629
1,000
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu.

Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi.

Kama kuna faida basi wakulima wangalienda nao kuvitumia wakapata mavuno mazuri. Uhuru wa nchi hii haukupatikana kwa kuvamia vyombo vya habari .
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,977
2,000
Hivi mtoa hoja hii unaishi nchi gani?hivi kuna opposition parties ndani ya nchi yetu?hapa kuna chama dola ambacho kinaongoza manyumbu maana kina judiciary yake,vyombo vyote vya dola na kinaendesha uchaguzi mkuu wa nchi.tulia mkuu na enjoy maisha ila hakuna yasio na mwisho.
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,221
2,000
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida,moja tu.
Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha wananchi.

Kama kuna faida basi wakulima wangalienda nao kuvitumia wakapata mavuno mazuri. Uhuru wa nchi hii haukupatikana kwa kuvamia vyombo vya habari .
Bora yupi? Wa vyombo habari? Au wa vyombo dola?
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
629
1,000
Ukweli unauma sana, unaona hakuna madhara, madhara ni makubwa na ndio maana hakuna aliejitokeza kwenye kupinga uchaguzi huru,mipango haiwezi kuwekwa hadharani .sasa mnaonekana mnaporoja tu ,na baya zaidi hakuna anaesikiliza imeshakuwa sasa ni mazoea.
 
mtanzania in exile

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
632
500
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida,moja tu....

Nini lengo la vyombo vya habari kama sio kuwapatia watu habari? Sasa wewe unataka wasitumie vyombo vya habari, huyo mkulima uliesema na wananchi wote kwa watajuaje harakati za vyama kinachoendelea nchini kama vyombi vya habari hawatowi habari hizo? Inaonyesha hujui umuhimu na nguvu za vyombo vya habari!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,418
2,000
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida,moja tu.

Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha wananchi.

Kama kuna faida basi wakulima wangalienda nao kuvitumia wakapata mavuno mazuri. Uhuru wa nchi hii haukupatikana kwa kuvamia vyombo vya habari .

Huu utoto unaouleta hapa jukwaani kila mara huwa unautoa wapi we dogo? Au account yako ya facebook imefungiwa?
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,811
2,000
Nini lengo la vyombo vya habari kama sio kuwapatia watu habari? Sasa wewe unataka wasitumie vyombo vya habari, huyo mkulima uliesema na wananchi wote kwa watajuaje harakati za vyama kinachoendelea nchini kama vyombi vya habari hawatowi habari hizo? Inaonyesha hujui umuhimu na nguvu za vyombo vya habari!
Bora shule zifunguliwe uende zako shule maana huu UJINGA wako uliopost hauna kichwa wala miguu
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,221
2,000
Nini lengo la vyombo vya habari kama sio kuwapatia watu habari? Sasa wewe unataka wasitumie vyombo vya habari, huyo mkulima uliesema na wananchi wote kwa watajuaje harakati za vyama kinachoendelea nchini kama vyombi vya habari hawatowi habari hizo? Inaonyesha hujui umuhimu na nguvu za vyombo vya habari!
Pamoja na kuwa midomo yao imepigwa plaster ila bado wewe na ukoo wako mnahaha.kwani mlikosea wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom