BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,832
Screenshot_20210118-230718.png

Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?

Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.

Hii itatufanya hata taarifa nyingine wanazo toa tusiziamini tukachukulia Kama ni propaganda tu.
 
Malengo ya hizi bbc ni kuvuruga mataifa ya afrika ni sera yao muda mref sana ukiipokea kichwakichwa unaweza dhani ni watu wa maana sana kumbe nyuma yao wana agenda konk
 
Kuna mdau alileta uzu humu akitaka ukweli wa taarifa kuhusu mabucha ya nguruwe kupigwa marufuku mkoani Shinyanga. Tuitafute ile thread ndipo tuje tuilaumu bbc . Shinyanga iko Tanzania haiko ulaya
 
View attachment 1681121
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?

Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.

Hii itatufanya hata taarifa nyingine wanazo toa tusiziamini tukachukulia Kama ni propaganda tu.
Na wewe hauna tofauti na hao, sasa umeleta hapa habari, haijitoshelezi, mfano wapi wamedanganya /wamekosea na hio ni heading tu, bila kuleta contents ni vigumu kuona hio statement imekosewa vipi/wapi
 
View attachment 1681121
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?

Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.

Hii itatufanya hata taarifa nyingine wanazo toa tusiziamini tukachukulia Kama ni propaganda tu.
6cddaf6eeb5640ce976e76c647cdedc3.jpg

Ni huko Kahama,siyo Tanzania nzima
 
View attachment 1681121
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?

Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.

Hii itatufanya hata taarifa nyingine wanazo toa tusiziamini tukachukulia Kama ni propaganda tu.
Mbona habari ya BBC Swshili 18 01 2021 imetaja Shinyanga Kahama! Na kunukuu kuwa mpaka sasa hakuna aliyedhurika na ulaji .....
 
Hii habari haijaanzia BBC chanzo chake ni hapahapa bongo KAHAMA nadhani na naamini wamelieza hilo specific kabisa kwa kuitaja kahama heading ni kukuvuta yu
 
Back
Top Bottom