Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili...
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi
Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam
Tafadhali usikose
Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tuna Jambo Letu
Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine.
Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe...
Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi?
Leo shamrashamra za kupatikana kwa spika 99.7% Dodoma hazijapewa kipaombele kwenye media hasa social media tatizo...
ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari.
Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri
Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi...
Huwa nashangazwa na jambo hili kwenye ligi yetu Tanzania mimi sio mfuatiliaji wa mpira mara nyingi nikiangalia taarifa za habari wasaa wa michezo huwa napenda kuangalia magoli yamefungwaje Lakini cha ajabu huwa nakutana na simulizi tu ya mchezo mzima ulivyotokea magoli siyaoni.
Tofauti na ligi...
Nipashe Online
Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana.
HabariLeo Online
DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA
Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
Nauliza tu hii imekaaaje?
Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga?
Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti.
Pamoja na kutengewa sehemu yao ya kukaa ambayo huwa kama haiwatoshi.
Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani.
Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa
Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles...
Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni.
Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
Si kawaida vyombo vya habari kuishi habari katika kipindi cha uchaguzi ila kwa Tanzania Vyombo vyote vya Habari havina matangazo balanced, habari wanazotoa ni za upande mmoja hasa kuhusu maoni, mitizamo na mwono wa walioshindwa.
Leo hii walioshindwa wakijiunga na chama tawala hata kama...
wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Kilwa Kaskazini
Francis Ndulane (CCM) - Kura 20,501
Vedasto Ngombale (CUF) - Kura 8,513
Kilwa Kusini -...
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
Wanabodi habari ya majukumu?
Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?
ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini?
Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini.
Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.