habari

  1. J

    GE2020 Tume ya Uchaguzi imevionya Vyombo vya Habari vinavyotangaza wagombea wamepita bila kupingwa Kinyume cha Sheria

    NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa hizo zinaweza kupeleka uvunjifu wa amani Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson...
  2. Jackmakundi

    Habari natafuta CONCRETE MIXER TRUCK

    ARUSHA USARIVER, tuwasiliane 0654553163 1.bei gani Kukodi? 2.inabeba cubic metre ngapi?
  3. Mystery

    GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
  4. J

    Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

    Kichwa cha habari chahusika. Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu. Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati. Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa. Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari. In short...
  5. Kipapatiro

    GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  6. PAZIA 3

    GE2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

    Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini Update zaidi kuwafikia ==== Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na wananchi, amesema vyombo vya habari hasa televisheni hazijaona mikutano hiyo kwa hivyo haikonyeshwa...
  7. Kipenzi Changu

    Uzinduzi: Habari za Utopolo kufungwa na wanafunzi wa chuo ni za kweli?

    Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi. Hizi habari zi za kweli?
  8. Erythrocyte

    Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

    Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa Vyombo vya Habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.
  9. MAHANJU

    Vyombo vya habari Tanzania ubaguzi wenu utawaponza. Hii siyo haki

    Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli. Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
  10. luangalila

    Wanahabari mliomuhoji Senzo pale Airport mna changamoto ya weledi

    Habarini wadau, Jana ni siku ambayo Taifa kulikuwa na activities nyingi, mambo ya siasa majina ya waliopitishwa na chama chao, ila katika ulimwengu wa sports ni ujio wa wachezaji wa Yanga toka DRC lakini pia urejeo wa mtu aliyewahi kuwa CEO wa Simba SC, somebody Senzo. Basi katika kuperuzi...
  11. M

    GE2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

    Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi. Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
  12. J

    GE2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 Source East africa radio My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote. Maendeleo hayana vyama! ====== Daftari la wapiga...
  13. BAKHOOR

    Hello wa JF

    Hello wa JF habari Mimi ni mgeni hapa kwa jamvi nawaombeni makaribisho mema.
  14. Sibonike

    Sifa za wakuu wa habari vilabuni

    Kuna kanuni mpya itaanza kutekelezwa huu msimu mpya wa VPL. Ili kuleta weledi na kupata watu sahihi, kanuni inataka wakuu wa vitengo vya habari, maarufu kama wasemaji wa club, wawe angalau na elimu ya Chuo Kikuu - degree. Mmeona wasio na sifa wameanza mdogo mdogo kuondoka kwa gia za...
  15. kyenshaja

    Habari zenu wadau humu ndani. Namimi nipo hapa

    Habari zenu wadau wenzangu. Na mimi ninaungana nanyi humu ndani.
  16. J

    GE2020 Je, Uchaguzi utakuwa huru na wa haki hata kama vyombo vya habari vitaendelea na katazo la kutangaza habari kampeni za vyama mbadala?

    Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki. Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa. Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
  17. M

    Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

    Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake...
  18. S

    GE2020 Watanzania wengi sasa wanamiliki smartphone ili kupashana habari za uchaguzi hasa zinazohusu wapinzani

    Kwa wake wanaodhani kuwa kudhibiti vyombo vya habari kuripoti habari za wapinzani kutawasaidia, wajue tu wanajidanganya kwani hivi sasa watanzania wengi wanamiliki smartphone hasa maeneo ya mijini, hivyo watazitumia kupashana habari za uchaguzi zikiwemo habari za wapinzani. Lissu kasema...
  19. M

    Kufungiwa kwenye vyombo vya habari na kufanyiwa vurugu, CHADEMA wanasaidiwa sana

    Kama Mwana CCM, tena mbunge mstaafu anayetetea kiti chake kwa mara nyingine, napata wakati mgumu sana jimboni ninapokutana na wapiga kura na washabiki wa CCM. Inaonekana wazi kabisa kwamba tunapoteza wanachama wetu wengi mno, kitendo ambacho kitatutia aibu ifikapo kipindi cha uchaguzi. Majuzi...
  20. A

    The Citizen ndilo Gazeti linalostahili kuungwa mkono na pongezi toka kwa wananchi

    Katika mchakato huu wa uchaguzi, vyombo vya habari, hasa magazeti yamekua yakikemewa kwa kuonesha upendeleo kwa CCM, na ni ukweli. Pamoja na mazingira hatarishi ya kufanya kazi zao, baadhi ya vyombo hivi vimejitahidi kutoa habari zinazotoa uwanja sawa kwa vyama vyote na kuripoti matukio nyeti...
Back
Top Bottom