unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe 5 march kesho yake tarehe sita wakapungua hadi watano? Simba inahusika vipi na vipimo na ili hali...
Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti taarifa kuhusu Rais Magufuli pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa wahusika yaani Serikali ya Tanzania...
Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama!
Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
Nilichojifunza kwa siku za hivi karibuni Duniani kote ni kwamba kila Jambo ni habari. Wanadamu wamekuwa wepesi sana kupokea habari na wazito sana kuzichuja habari.
Ili uweze kuwa na afya ya kiakili lazima ulishe ubongo habari mchanganyiko then ubongo nao achambue zipi uzihifadhi Kama maarifa na...
Ukweli ni kwamba, hawa Bwana wakubwa wamefanikiwa sana katika kupandikiza hofu na uoga katika jamii yetu na hata katika vyombo vyetu vya habari lakini wamefeli sana katika azima yao ya kutaka umma usipate habari wanazotaka zisifike kwa umma.
Kwanini nasema hivi?
Kuna mambo/matukio ambayo...
Taifa linalokuwa na tasnia ya habari iliyojaa uoga ni taifa mfu. Maana ni taifa ambalo haliwezi kupata taswira au picha kamili ya jinsi hilo taifa lilivyo.
Nini kinawapa wanahabari kupata kigugumizi juu ya kuhoji juu ya taharuki, sekeseke na hofu iliyotanda hapa nchini?
Ni makosa kuandika na...
Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu : Fuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi.
Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa.
Wote Mnakaribishwa.
Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni.
Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
Operations taking place at Naivasha Inland Container Depot
FILE
Naivasha is turning into the next hub of business in Kenya following the completion of the SGR extension to Longonot, expansion of the Nairobi-Nakuru highway among other projects.
There is also the Inland Container Depot (ICD) set...
Wakuu wale wapenzi wa nyimbo za kale naomba kama kuna mtu anaweza kuwa na nyimbo ya Mzee Makasi -Anifa tafadhali anisaidie nyimbo ina nikumbusha mbali Sana laakini namna ya kupata nimeshindwa what's app 0765544791 Asante
Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa na nchi za Afrika.
Pamoja na kwamba kiwango cha ushirikiano kati ya...
Akiendelea na ziara yake ya siku tatu mkoa wa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 25, 2021 ameweka jiwe la msingi katika soko la Kisutu na kuzindua jengo la Jitegemee, Rais Magufuli ametoa wito kwa wizara zote nchini kuwa wepesi kutoa ushirikiano kwa wanahabari ili kufikisa taarifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.