habari

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaiponda Habari hakikisha kwanza upo Jukwaa gani

    Kumekuwa na Tabia kwa baadhi ya watu kudharau habari zinazopandishwa kwenye majukwaa ya JamiiForums. Unakuta Habari imepostiwa kwenye jukwaa la Celebrities inamuhusu msanii eg. Harmonize, Diamond, Nandy n.k ila anatokea mtu from nowhere ana-reply "Tuondolee habari za kitoto" mwengine unakuta...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

    Wadau hamjamboni nyote Benjamin Netanyau ataongea na waandishi habari Leo saa 2:30 usiku Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a press conference this evening at 7.30 p.m. The address, in which he will answer questions from journalists, comes amid an apparent deadlock in talks for a...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 50% ya Waandishi wa Habari Tanzania wameripoti kuwahi kutishiwa, kushambuliwa au kuteswa wakiwa kwenye majukumu yao

    Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo: 20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari. Waandishi wa Habari wa Kike...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania TCRA: Vyombo vya habari vinavyochanganya lugha kuchukuliwa hatua, ‘kuna haja ya kukiita kipindi Goodmorning?’

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari za muda huu

    Naomba software ya Ms word 2019 au 2021,2023 iliyo free amba syo y kulipia au kma mtanielekeza pia website pakwenda kuipakua nitashukuru wandugu
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Aljazeera ambaye pia ni gaidi la HAMAS

    Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa dini, ukishajiunga kwenye uzombi wa ile dini yaani wewe na ugaidi mnakua kama pete na chanda...
  7. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nape: Wanasiasa wote wapewe nafasi sawa kwenye vyombo vya Habari

    Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi. “Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Habari za Intelijensia zinaonyesha Rwanda na DRC ziinaweza kupigana.

    Rwanda na DRC zinaweza kwenda vitani wakati wowote kuanzia hivi sasa. Ndivyo wanavyosema CIA. Ndio maana Williams Burns alifika hapa wiki mbili zilizopita kuongea na Rais Ruto. Williams Burns huyu ni Director wa CIA. Lakini sisi tupo hapa hatujaona chochote bado,wanakuja watu toka nje...
  11. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, baadhi wasivyojua namna ya kusimamia maudhui ya taarifa za viongozi wa juu kama Raisi

    Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe.... Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa watumiaji wa Tik Tok

    Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tik Tok basi tambua kuwa Kuanzia sasa muziki wowote unaomilikiwa na Universal Music Group hautakuwepo kwenye orodha ya nyimbo za kutumia TikTok. Video za zamani zilizotumia nyimbo za wasanii wa Universal Music Group hazitakuwa na sauti tena. Kwenye barua ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Habari naomba ushauri au mwongozo kuhusu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.

    Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
  14. M

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili tuleteeni habari zinazozingatia maadili, Mila na utamaduni wa Waafrika

    Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Visa ya India huchukua siku ngapi?

    Heloo WanaJF mko poa? Visa ya India ni siku ngapi mpaka napata?
  16. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    Wakuu habari ya leo, Naomba kupata muangaza kidogo katika written interview za examination officer aina ya maswali yanayoulizwa.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

    Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chombo cha habari cha Israel chafafanua propaganda yaliyotokea Oktoba 7

    Baada ya tukio la october 7, zilikuwepo taarifa za kuonyesha kuwa kulikuwa na unyama mkubwa sana uliofanywa na HAMAS siku hiyo ikiwemo ubakaji na mauaji ya watoto. Uongo huo ulisambazwa dunia nzima na hivyo kuipa Israel cover ya kwenda kufanya mauaji ya kimbari Gaza. vyombo kadhaa vya habari...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Samatta ni mkubwa nje ya uwanja na kwenye vyombo vya Habari lakini ndani ya uwanja ni mdogo Sana

    Kwema wakuu! Mtanisamehe kwa wale wapenzi wa Mchezaji wa Mpira aitwaye Samatta. Lakini kiukweli tangu nimjue Samatta hasa akiwa ndani ya timu yetu ya taifa sijawahi kuona miujiza na ukubwa Wake. Ukisikia matangazo ya kwenye Luninga na Redioni kumhusu Samatta amejengwa kwa namna ya mtu fulani...
Back
Top Bottom