JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
707
859
CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari.

Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam.

🗓️ 7 Machi, 2024
🕑 Kuanzia Saa 7:00 Mchana

WOTE MNAKARIBISHWA

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
 
Sawa
Tunasubiri kumsikia ili tuchambue atakacholiambia Taifa
 
CDE. JOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari.

Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam.

🗓️ 7 Machi, 2024
🕑 Kuanzia Saa 7:00 Mchana

WOTE MNAKARIBISHWA

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
 
Attachments

  • IMG-20240306-WA1428(2).jpg
    IMG-20240306-WA1428(2).jpg
    76.6 KB · Views: 3
CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari.

Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam.

7 Machi, 2024
Kuanzia Saa 7:00 Mchana

WOTE MNAKARIBISHWA

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
Una haraka ya kwenda wapi? Atazungumza na wanaccm Taifa unalijua wewe?Acha kukuza mambo
 
Back
Top Bottom