Hii SGR Dar-Moro Masaa Mawili, Duniani Huko Wanatumia Dakika 20!

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,767
21,241
SGR yetu ya kwanza toka kuumbwa kwa dunia ilijaribiwa kwa mbwembwe pamoja na wadau kuhoji vipi umeme ukikatika itakuwaje?

IMG_20240229_105851.png

Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alijibu kwa mbwembwe tuna backups transformers na diesel engine za dharula, pamoja na majibu hayo umbali uliotumika haukuweza kutoa jaribio bora kuliko matarajio.

Nje ya Tanzania huko wanapoanziaga kuunda haya mausafiri as China, Gari la kuruka na kutua kwa wima la umeme lililotengenezwa na kampuni ya wazawa kwa jina; electric Vertical Take-Off and Landing - eVTOL, hivi majuzi lilifanya jaribio lake la kwanza.

55_ZcQadMQ.png

Katika kukamilisha safari kati ya miji miwili ya Shenzhen na Zhuhai yenye umbali wa 160km iliweza kutumia dakika 20 pekee, ambapo kulinganisha na safari ya kawaida huchukua dakika 70 kwa boat na zaidi ya saa mbili kwa kutumia gari.

IMG_20240229_105417.jpg

Kwa kawaida usafiri huu hujulikana kama "teksi za angani" magari haya yana uwezo wa kupaa wima, sawa na helikopta, hivyo kuondoa ulazima wa kutumia viwanja vya ndege vya kawaida na kwenye njia za kurukia ndege.

NB. Wakati dunia inasogezwa zaidi kuwa karibu kwa wanaoishi duniani, kuna mataifa mengine wanarudi nyuma au yanajikongoja.

Sisi kama Tanzania pamoja na kwamba yawezekana tusifike kuwa sawa na wachina ila hata kupitia hii SGR basi tufupishe muda wa kukaa safarini.

Hii ni kwa sisi wananchi wa kawaida, juzi imetoka taarifa kuhusu matumizi ya usafiri nchini, imeonekana walio wengi hawawezi kumudu garama kubwa, so kazi kwenu ndg Kadogosa.

Nawasilisha.
 
Mkuu lengo mama la uzi lilikuwa ni kuichamba sgr yetu au kutuelezea kuhusu teksi za angani za mchina?

Mwenyewe ushasema sgr yetu ya kwanza tangu kuumbwa kwa ulimwengu, sasa ulitaka ianzeje?
 
SGR yetu ya kwanza toka kuumbwa kwa dunia ilijaribiwa kwa mbwembwe pamoja na wadau kuhoji vipi umeme ukikatika itakuwaje?

View attachment 2919912
Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alijibu kwa mbwembwe tuna backups transformers na diesel engine za dharula, pamoja na majibu hayo umbali uliotumika haukuweza kutoa jaribio bora kuliko matarajio.

Nje ya Tanzania huko wanapoanziaga kuunda haya mausafiri as China, Gari la kuruka na kutua kwa wima la umeme lililotengenezwa na kampuni ya wazawa kwa jina; electric Vertical Take-Off and Landing - eVTOL, hivi majuzi lilifanya jaribio lake la kwanza.

View attachment 2919903

Katika kukamilisha safari kati ya miji miwili ya Shenzhen na Zhuhai yenye umbali wa 160km iliweza kutumia dakika 20 pekee, ambapo kulinganisha na safari ya kawaida huchukua dakika 70 kwa boat na zaidi ya saa mbili kwa kutumia gari.

View attachment 2919905
Kwa kawaida usafiri huu hujulikana kama "teksi za angani" magari haya yana uwezo wa kupaa wima, sawa na helikopta, hivyo kuondoa ulazima wa kutumia viwanja vya ndege vya kawaida na kwenye njia za kurukia ndege.

NB. Wakati dunia inasogezwa zaidi kuwa karibu kwa wanaoishi duniani, kuna mataifa mengine wanarudi nyuma au yanajikongoja.

Sisi kama Tanzania oamoja na kwamba yawezekana tusifikie sawa na hawa wachina ila hata kupitia hii SGR basi tufupishe muda wa kukaa safarini.

Na hii ni kwa wananchi sisi wa kawaida, juzi imetoka taarifa kuhusu matumizi ya usafiri nchini, imeonekana walio wengi hawawezi kumudu garama kubwa, so kazi kwenu ndg Kadogosa.

Nawasilisha.
hatupo hata duniani, mkuu sisi tuna dunia yetu wenyewe ya chama tawala
yanayoendelea ni upuuzi mtupu
 
Unahitaji gari la kuruka?

Are you sure Serikali ikiyanunua hutosema wanatumia vibaya pesa?
 
Upinzani naupenda, ila shida yenu ndio hapa, mnapotafuta cha kuponda hata ambapo hakipo hicho kitu,
Hizo taxi zikiruhusiwa mna hela za kwenda kununua? Kama ndege tu Dar-Dom mnashindwa lipa je mtalipa hizo tax ?
 
Nadhani tupate uzoefu kwanza kabla ya kukimbilia mavitu ambayo hata wenyewe(wenye technology) hawana uhakika nao.

Rome was not built in a day
 
SGR yetu ya kwanza toka kuumbwa kwa dunia ilijaribiwa kwa mbwembwe pamoja na wadau kuhoji vipi umeme ukikatika itakuwaje?

View attachment 2919912
Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alijibu kwa mbwembwe tuna backups transformers na diesel engine za dharula, pamoja na majibu hayo umbali uliotumika haukuweza kutoa jaribio bora kuliko matarajio.

Nje ya Tanzania huko wanapoanziaga kuunda haya mausafiri as China, Gari la kuruka na kutua kwa wima la umeme lililotengenezwa na kampuni ya wazawa kwa jina; electric Vertical Take-Off and Landing - eVTOL, hivi majuzi lilifanya jaribio lake la kwanza.

View attachment 2919903

Katika kukamilisha safari kati ya miji miwili ya Shenzhen na Zhuhai yenye umbali wa 160km iliweza kutumia dakika 20 pekee, ambapo kulinganisha na safari ya kawaida huchukua dakika 70 kwa boat na zaidi ya saa mbili kwa kutumia gari.

View attachment 2919905
Kwa kawaida usafiri huu hujulikana kama "teksi za angani" magari haya yana uwezo wa kupaa wima, sawa na helikopta, hivyo kuondoa ulazima wa kutumia viwanja vya ndege vya kawaida na kwenye njia za kurukia ndege.

NB. Wakati dunia inasogezwa zaidi kuwa karibu kwa wanaoishi duniani, kuna mataifa mengine wanarudi nyuma au yanajikongoja.

Sisi kama Tanzania oamoja na kwamba yawezekana tusifikie sawa na hawa wachina ila hata kupitia hii SGR basi tufupishe muda wa kukaa safarini.

Na hii ni kwa wananchi sisi wa kawaida, juzi imetoka taarifa kuhusu matumizi ya usafiri nchini, imeonekana walio wengi hawawezi kumudu garama kubwa, so kazi kwenu ndg Kadogosa.

Nawasilisha.
eti baba,
unazungumzia SGR ya Tz au Tax za umeme nza kuruka angani huko china 🐒
 
Mimi nadhani Watanzania ndio tunachanganya na pia hao Wanasiasa walishindwa kuwaambia ukweli kuwa zipo aina mbili za Tren ya umeme ya kwanza ndio hiyo ya mwendokasi ambayo ina kichwa kimechongonga na hii ya kawaida ambayo kichwa chake hakijachongoka kwa SA wanaziita iege wakimaanisha likianza kuondoka liache usilidandie maana litakusababishia madhara na lipo hilo la kuchongoka kana la Gauteng tren la kutoka Airport/Johannesburg na Pretoria hilo ndio linatumia muda kidogo sana tofauti na lile Metro la mwanzoni kwa hiyi sisi tupo kwenye Metro kitu ambacho naona ni hatua bora kabisa ingawaje hii taarifa haikuwepo toka mapema..
 
Back
Top Bottom