habari

  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ndio Habari ya mjini, Mengine Mbwembwe tu

    Maisha ni tight kwa hio hapa ni mwendo wa KAZI na BATA tu mengine Mbwembe tu 2020 Twende na KAZI na BATA tuachane na mbwembwe
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kulikoni: Television nyingi hapa nchini kwa sasa zinatangaza zaidi habari za Kanda mbili; Kusini na Kanda ya Ziwa

    Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv. Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo. Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa. Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa. Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
  4. Zuheri Ally Amri

    JamiiForums Tanzania Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

    Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

    '' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
  6. dee official

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mikopo

    Habari za muda huu wadau Samahani naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na maswala ya transfer ya mkopo je huchukua muda gani mpaka kukamilika na mnufaika kupatiwa pesa alizopangiwa kwa mwaka husika? Mimi nimefanikiwa kupata asilimia kidogo sana ya mkopo katika batch number two ila kutokana na...
  7. Mapambano Yetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni vyombo vya habari. Huu sio wakati wa kulalamika

    Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari. Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020...
  8. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

    Nimeinasa kwenye Mitandao ya Kijamii ya usembassytz kuhusu Kaimu balozi wa Marekani kwenda Kumtembelea na kumtakia heri ya Sikukuu Mke wa Muandishi wa Habari za Uchunguzi Azory Gwanda ambaye Alitoweka miaka kadhaa hadi sasa kwa kuchukuliwa nyumbani kwake usiku na Watu wasiojulikana (Siwezi...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Maumivu wakati wa kufika kileleni kwa Mwanaume

    FAHAMU TIBA YA MAUMIVU WAKATI WA KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME. PAINFUL EJACULATION/PAINFUL ORGANS IN MALE. Ni ile hali ya mwanaume kuhisi maumivu wakati anafika kileleni/wakati manii yanatoka au mda mfupi baada ya kufika kileleni. Maumivu hayo anaweza kuyahisi Perinium(eneokatikati ya tundu la...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CPJ: Kwa mwaka 2019 hadi kufikia Desemba 01 Waandishi wa Habari 250 walikuwa wamefungwa sehemu mbalimbali Ulimwenguni

    Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari kupitia ripoti yake ya mwisho wa mwaka huku ikibainisha kuwa mwaka 2018 idadi hiyo ilikuwa Waandishi 255 China ni ya kwanza kwa kufunga Wanahabari 48 ndani ya mwaka huu huku Uturuki ikiwa nafasi ya pili ikiwa imefunga Wanahabari...
  11. mills93

    JamiiForums Tanzania Nimefeli chuo, naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo. Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijui nifanye nini ili maisha yaendelee. Its like chuo was my only stand and now it has...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV

    Wanabodi, Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa malipo kiduchu, vyombo vya habari vinakabiliwa na ukata mkubwa, wamiliki wanaendeleza ujinga kwa kuajiri...
  13. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa polisi akabiliwa na kesi ya kumuua mwandishi wa habari Eric Oloo

    Wapelelezi wanaochunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa TheStar Bw. Eric Oloo wamemhisi Afisa Mkuu wa Polisi Bi Sabina Kerubo kuhusika na mauaji hayo. Afisa huyo wa polisi, ambaye mwili wa mwandishi wa The Star ulikutwa nyumbani kwake mnamo Novemba 21, alipelekwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vingi vya Habari vinadharau sana

    Kwanini vyombo vingi vya habari vinadharau pale unapowahitaji. Unawaeza ukawaandikia email au Wasap au call zinafika lakini hawapokei wanasoma lakini hawajibu. Tatizo linakuwa wapi?
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kauli yake hii Waziri Mwakyembe 'anawajali' au 'anawachukia' waandishi wa habari na vyombo vyao nchini Tanzania?

    “Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe. Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanafikiri upinzani ndiyo kwisha habari yake wanasahau kufa ni sehemu ya kuanza upya.

    Ili mbegu iote sharti ioze kwanza na kuharibika ili uhai uchipuke upya,ni jambo la ajabu sana hili kutafakari kwa kina. Kwa wakulima hawawezi kustaajabu sana kwa sababu ya uzoefu wa jambo hilo ila kuna haja ya kujifikirisha zaidi juu ya mchakato unaofanyika. Ukihusisha kuoza kwa mbegu na kuota...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Binadamu na Utawala Bora yaangukia vyombo vya habari

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu, amesema tasnia ya habari kuwa ndio wadau wakubwa wa haki za binadamu nchini. Jaji Mwaimu alisema hayo jana katika mkutano uliofanyika Zanzibar wa kuwajengea uelewa wa pamoja makamishna wa tume...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utashangaa bado kuna Watanzania 'watabisha' kuwa Tanzania hakuna kabisa uhuru wa vyombo vya habari

    “ Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje “. @TZMsemajiMkuu Ndugu zangu wa...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Serikali imeelekeza, imeonya na kusamehe vya kutosha. Sasa kuvichukulia hatua vyombo vya habari vinavyosambaza taarifa za uongo

    Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ndio ametoa onyo hilo kwa kusema; "Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

    Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa, kulikoni Canada? Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako". Prof Kabudi aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa...
Back
Top Bottom