PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 687
- 2,173
Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024.
Musemaji wao anaropoka.
Page zao zinaropoka tu.
Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira.
Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi atakutana na YANGA na atapigwa 5G tena?
Kwanza wapo kwenye haya mashindano kwa huruma tu za kanuni za CAF, hii ni kwa sababu wanashiriki michuano ya mabingwa Africa wakati wao sio mabingwa wa msimu uliopita.
Mwenye kujua tatizo lao aseme jamani