habari

  1. Akotia

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mtandao wa Malumbano Kwenda Mtandao wa Habari

    Ohaa Wana jukwaa Jf imeendelea kuwa mtandao muhimu ambao umekuwa kama mkondo wa pili wa habari kwa jamii ya Tanzania, na sasa unaonekana kama kama sehemu ya kuongelea masuala kedekede,Sababu ya uwezo wake wa kuchapisha habari haraka na kwa urahisi, na pia kwa kuwa jukwaa la user-generated...
  2. demigod

    JamiiForums Tanzania SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

    Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake. Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti. Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
  4. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Suala la dollar limekuaje?

    Wakuu mmeshagundua kwamba Equity bank wamesitisha manunuzi online
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
  6. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro usitume watu kukusafisha, jisafishe mwenyewe!

    Katika Siku za hivi Karibuni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh Damas Ndumbaro alitoa tamko akiwasii watanzania kuwa na uzalendo kwa timu zao kama tunavyoona nchi za wenzetu zinavyofanya utanguliza uzalendo kwanza! Tofauti na hapa kwetu ambapo tumeshuhudi timu pinzani hasa Simba na...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

    Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo. Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

    Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea? Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini. HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

    Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani. Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji vyombo vya habari vilivyo huru sasa

    Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni kusifia tu. Hakuna tena uchambuzi, ukosoaji na uelimishaji. Wako wapi akina Generali Ulimwengu, Absolom...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  14. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Claud Gwandu: Ukifanya mahojiano na Waandishi wa Habari wa Arusha baada ya Interview wanakukaba

    Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC), Claud Gwandu akizungumzia kuhusu changamoto ya Maadili ya Waandishi wa Habari wa Jijini Arusha, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Arusha Women in Media, Machi 17, 2024.
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni Watu wanaopenda habari za Uzushi, Conspiracy theories na udaku

    Kwema Wakuu! Jadili Chozi la CDF Mstaafu Mabeyo litolee ufafanuzi kana kwamba unajua alichokuwa anafikiri. Fafanua na elezea tabasamu na kila cheki lake na maana iliyojificha. Kwa kina onyesha jinsi body language yake inavyokinzana na anachozungumzia, hakikisha unaeleza uongo mtamumtamu...
  18. Odegard

    JamiiForums Tanzania Habari

    Naomba mnipokee Mimi ni mtanzania mwenzenu.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bmw 3series GT au 5series GT

    habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
  20. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Sitaki habari za simba na yanga: Jiheshimu uheshimiwe

    Hivi huko Tanganyika huwa mnasoma somo la nidhamu mashuleni? Umekutana na mtu, wala hamfahamiani kihivyo, hujui anapenda nini, hujui anavutiwa na nini, unakurupuka tu? Nani aliwaambia kila mtu ni shabiki au mfuasi wa mpira? Umekutana na mtu, wala havutiwi hata na mipira, unaanza kuleta...
Back
Top Bottom