Mwandishi wa Habari aliyekamatwa akituhumiwa kuiandika vibaya UDOM aachiwa kwa dhamana

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Mwanahabari Kazimbaya Makwega ambaye alikamatwa na Askari Polisi akiwa Chuo cha Mallya, Kwimba (Mwanza), Februari 22, 2024 kisha kusafirishwa hadi Dodoma kwa tuhuma za kuandika maneno ya uchechezo dhidi ya Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM) kupitia tovuti yake ya ‘Mwanakwetu’, ameachiwa kwa dhamana.

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mwanza, Edwin Soko amesema “Makwega ameachiwa kwa dhamana na suala lake linatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne ya wiki ijayo (Machi 5, 2024), kwa sasa hapatikani hewani kwa kuwa wakati wanamshikilia Askari walichukua simu zake mbili pamoja na laptop.”

Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amesema “Nipo njiani muda huu, bado sijapata ripoti ya mwendelezo wa Shauri lake (Makwega) lakini ninavyojua suala lake kina dhaminika, nikifika ofisini nitapata ripoti kisha nitakujulisha.”

MWANDISHI_WA_HABARI_AKAMATWA_AKITUHUMIWA_KUIANDIKA_VIBAYA_UDOM.jpg

Pia soma - Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma
 
Aliandika kuhusu nini mkuu
 
Aache kuandika mambo asiyo na ushahidi nayo, waandishi kanjanja sana hawa
Wewe ndio pumbavu, huoni kuwa huyu ni suspect?,hana hatia hadi court of law iamue, na pia elewa ni makosa kumkamata suspect na kumweka 48 hrs kabla ya kumpandisha mahakamani, je udom (chuo cha vilaza kuliko vyote Africa)wamefungua docket police?,hii sio criminal case, Tanzania ni police state, ule ushenzi unajua mimi ni nani umetamalaki nchini, royal families....
 
Back
Top Bottom