gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Ahadi Hewa: Kituo cha Simu cha NIDA Kinafanya Kazi ya Kasuku au Kuna Siri Gani Nyuma ya Vitambulisho?

    Wana-JamiiForums, Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii. Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

    Habari zenu wana JF Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu. Nawasilisha kwenu wadau
  3. JamiiForums Tanzania Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida

    Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida ?
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya "Kupiga soga" na "Kusinzia mezani": Ni mbinu gani unaitumia sasa hivi kukabiliana na usingizi wa mchana ofisini/kazini?

    Habari za mchana huu wa kazi wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Sote tunajua lile bishano kubwa la ndani ya moyo linalotokea kila ifikapo saa saba hadi saa tisa mchana—pale mwili unapotamani kulala lakini majukumu yanakuambia "amka!" Hebu tuchangamke kidogo hapa kwa upendo na ucheshi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
  6. JamiiForums Tanzania KERO HR vyuo vikuu vya Tumaini Makumira na Tumaini Dar es Salaam (Dartu) kuna tatizo gani? Mnaita watu kwenye interview halafu mnapotea mazima. Kulikoni?

    1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wadada wanaotumwa mitandaoni wakiwa utupu wana wazazi kweli! Malezi gani haya

    Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    😁
  10. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika viumbe kama nyoka na mijusi wakitaka kujitibia na ukiweza kugundua si rahisi kukuacha salama

    sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  14. JamiiForums Tanzania Huu ndio uvaaji gani?

  15. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

    Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele. Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  17. JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi kuna shida gani hasa kiroho?

    Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na kisaikolojia. Mkoa wa Arusha umekuwa ukigonga vichwa vya habari kwa matukio ya ukatili uliopindukia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa gani katika medani za siasa usiyemuamini Tanzania/Tanganyika na kwanini?

    Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of. Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level! Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi wauza magari wa JF wanaishi dunia gani?

    Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika. Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…